Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
Nakumbka boarding,though mimi hii kitu nilikua situmii kabisa, nilionekana siku za ugali samaki or ugali nagaa,na za wali tu
Ukitaja jina hili nakumbuka 1987 kidato cha pili huzami kwenye paper ya form two kama huna kadi ya umoja wa vijana yachama na kuna mtu yupo mlangoni kama huna kadi unauziwa iliniuma sana hela yangu sh.600/=
CIO poaBording school!
Duh.
Tabu yote ile lakini mpaka sasa bado vyuma vime-------.
No sweat.

Njoss in those days
Na je seven vee manouve ni ipi!?Tulikuwa tunaita Top Leyer
Ha ha ha ha ha ha haaaah, umenikumbusha mbali, sisi tulikuwa tunaita "Guantanamo Bay detention camp"Gerezani
Daah ndovu nimeenda sana kushangaa miti na wanakihesa waliokuwa wanapeleka mademu kuleDom 1; then uko uwanjani unaelekea msitu wa ndov.
Duh.....2012-2014 PCB
nimekupata mruga ruga mwenzangu. kisha unajisogeza karibu na milango sita. kama unazo chapaa unajisogeza kwa mama khadijaMILAMBO HIGH SCHOOL kwa babu msengi
Njoss mwaka gani mkuu!Njoss
2004Njoss mwaka gani mkuu!