Recent content by Ndekule Jr

  1. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo ya Africa AfDB Kutoa Bilioni 244 Kwa Ajili ya Mradi wa Vijana,"Build a Better Tomorrow"

    Mkuu, nahitaji kujua jinsi ya kujisajili Leo nimemsikia mh, Bashe akisema pia na nimekuwa mfatiliaji mzuri Ila nashindwa jinsi ya kujisajili, Mimi ni mwanafunzi wa chuo nahitimu saut mwaka huu, bachelor Nina ardhi ekari 60 Tabora, nimepanda korosho Ila nahitaji kulipa zao jingine naomba nisaidie
  2. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu gani ndani ya chumvi?

    Habari wanajukwaa na poleni kwa mihangaiko ya week nzima. Niende moja kwa moja kwenye mada, wakati nakuwa nilikuwa nikisia wakati wa usiku hupaswi kutaja neno chumvi na hata mtu au jirani akija kuomba Ili apewe ni lazima aseme dawa ya mboga endapo atasema chumvi basi huyo hatapewa. Je, ni...
  3. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Wapi uko mzee?? Yaani ukiongelesha demu hachomoi?
  4. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunao wengi Sana nyumbani mzeee afu huwa atiwafungii bandani ni kutembea uwanjani usku mzima na wanapiga kelele kishenzi
  5. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

    Nina wengi mkuu Ila Bei zao utaweza maana mkubwa mzuri Bei ni 100k
  6. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Nalia na gazeti la zamani Sanifu, Sani, Tabasamu, By Kingo, Bongo na kadhalika, kwani ni matajiri katika ulimwengu wa sasa wa katuni

    Walipo kwa sasa baadhi ya wahusika wa gazeti la Sani na Bongo. Sokomoko ni mgonjwa wa ini sababu ya unywaji Sana wa pombe Yuko kwao kigogo, Ndulakuwili alipigwa nusu kufa kwa Tabia zake za wizi na utapeli kariakoo sasa hivi anabeba mizigo mabibo sokoni. Kipepe na Njomba Nchumali walinusurika...
  7. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha mahindi

    Uko wapi mkuu Mimi nipo mwanza.
  8. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Mada ya wanyama

    Mkuu habari Mimi ni nimekuwa nakufatilia thread zako kwa muda wa miaka mingi toka miaka hiyo hadi Leo nimeona umebarikiwa na unacho kipaji cha kipekee hasa katika masuala ya kiroho na ulimwengu mwingine nahitaji msaada kama utakuwa tayari kunisaidia Nina mwanangu wa kiume ana mwaka mmoja na...
  9. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    Msaada mwenye PDF ya hiki kitabu The race for Timbuktu search for the city of gold. Kimeandikwa na Frank .k. kyrza
  10. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli

    Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli. Sheria 12 za ulimwengu zinafikiriwa kuwa sheria za ndani, zisizobadilika za ulimwengu wetu ambazo tamaduni za zamani zimekuwa zikijulikana kila...
  11. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Kaka Naomba namba yako au naomba nipigie Mimi kwa namba yangu 0654431820 nahitaji hiyo master plan ya kilimo Cha tikiti maji naomba tuwasiliane tafadhali.
  12. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

    Inaitwa Clash of the titans Hapan hiyo movie inaitwa the immortal, clash of the titans inazungumzia historia ya miungu wa kigiriki akina zeus na Persians
  13. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo nguvu kubwa iliyopo ndani yako na jinsi unavyoweza kuitumia kufanya miujiza

    The 2nd thread plz tag me
  14. Ndekule Jr

    JamiiForums Tanzania CCBRT na bei za miwani ya macho

    Boss vip napenda kuuliza gharama za kuanza pale unaingia mapokezi kupima macho mpaka kuonana na daktar kuna gharama kias gan??
Back
Top Bottom