Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

Ndo naana yake mkuu yaani jamaa ni mwenyeji lakini wanamsumbua mpaka ashike fimbo na kuwachapa ndo wanatulia sasa huyo ni mwenyeji mgeni je si balaa! Maana hawataki mtu aliyezubaa!
Ndiyo Wapo Hivyo Ama Hao Ni Watata Tu
 
Hawa bata bukini nawapata wapi ili kazi niianze
Piga call 0746696878
Nipo dsm chanika
Pia Kuna bata aina nyinnge kama mallard, jumbo perkin, khaki Campbell, Indian runner ,Rouen na black Swedish
 

Attachments

  • IMG_7743.MOV
    9.1 MB
  • IMG_7576.MOV
    29.6 MB
Back
Top Bottom