Mm nna tatzo mkuu kila sehem nkienda pima miwani tatzo langu kubwa sana hadi lensi zina gomaMkuu ww hujui unachokiongea, nimeenda eye clinics za kitaa mara baada ya kutoka ccbrt na nikaambiwa vipimo vyao ni 15k na lens inategemeana na aina ya lens, nikawatajia yangu, wakanambia 30k frame zipo 40k-90k,sasa cjui maana yako
NB; Nimeenda eye clinics tatu na zote majibu hayapishani na nilichokiandi saana iwe kwa kupungua au kuongezeka
Vp apo ccbrt naweza saidiwa