Kuna nguvu gani ndani ya chumvi?

Kuna nguvu gani ndani ya chumvi?

Ndekule Jr

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
23
Reaction score
20
Habari wanajukwaa na poleni kwa mihangaiko ya week nzima.

Niende moja kwa moja kwenye mada, wakati nakuwa nilikuwa nikisia wakati wa usiku hupaswi kutaja neno chumvi na hata mtu au jirani akija kuomba Ili apewe ni lazima aseme dawa ya mboga endapo atasema chumvi basi huyo hatapewa.

Je, ni kwanini chumvi kipindi kile ulikuwa marafuku kutamkwa usiku Ila kwa sasa hizo milaa hamna watu wanatamka tu chumvi Ata kama ni usiku. Msaada tafadhali kwa wajuzi wa mambo bila kumsahau,Mshana Jr

Naomba kuwasilisha.
 
Mila na tamaduni nyingi zinakiukwa na kudharauliwa kwasababu ya usasa..
 
Back
Top Bottom