Recent content by Ndegemakwava

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

    Shetani Na mawakala zake wana visa sana. Mara nyingi watu maarufu has a kupitia michezo Na Sana'a wanaingizwa huko ili kushawishi watu wengine
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

    Ila huyu demu wake ana sura UA kike sana au imebadilika.baada ya surgey . sijuwi kwanini na pesa yote Na umaarufu anakula nyama ya kiwandani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hizo si sheria za umoja wa mataifa. Umoja wa mataifa umetumika.kama.kivuli tu. Ni sheria za wababe wa dunia ili visitokee vitaifa vingine kuwa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

    Ule ugomvi mdogo mnajifanya mnatuletea tumikono twenu kupiga, nakukamata kwa nguvu kifuani huku nikikupa maneno matamu mwishowe kitu kinatafuta njia ya umangani. Ila hapo mi ndiyo mwenye kosa Dogo. Ukweli umri unachangia ukubwani mambo mengi hata ya kimaisha.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mchawi ndie kiumbe mwenye akili ndogo sana kuliko viumbe vyote duniani

    Na Watu wengi hufikiri kuwa mtu aliyesoma hawezi kuwa mchawi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

    Ila wazungu wana mambo mengi sana sijuwagi kwa Nn wanapenda kutembelea Zanzibar kwa kiwango hicho Labda mi sijui ukiondoa mahoteli ya fukwe zao kuna nini zaidi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nadhani safari hii Iran anaenda kuwa moja ya nchi zenye siraha za nuclear kwa msaada wa urusi. Kapata chance.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    Weee nakaa mbele na mke wangu, Mara kasketi kamajivuta naona upaja kwa mbali, Mara kakaa kiupande upande hips limenyanyuka burudani barabarani. Mama kukaa siti ya nyuma haimpunguzii upendo na heshima. Duuu sina gari Nina bodaboda hiyo siti ya mbele naitoa wapi?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Utatoka na nani wa JF?

    Ngoja nitulie nianze moja Mrembo niliyetaka kutoka naye kashataja njemba nyingine huko.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Mkuu kama anawajibika na mambo mengine ya familia hapo nyumbani na kitandani, mbona hivyo vitu vinatosha kwa mke, mambo ya academic ya Nn kwenye ndoa? Hiyo na mengine ya kisomi kisomi tumia akili yako kujazia ili Maisha yaende
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Tajiri bill lugano anajua kuwanyoosha wenye roho zilizojikunja.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

    Hee, kingine tena ? Ndiyo Nn hiki? Hivi vitu huku kwetu ni vigeni.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

    Huku tunakula dona kwa majani ya maboga yaliyoungwa karanga pamoja na kibambala. Asubuhi, mchana na ucku. Hiyo mikate ya Nn?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hiki kitendo cha wadada kutoka na kanga kwenda kuoga kiukweli kinatutesa sana sisi wanaume

    Uchokozi tu wa wanawake Na we shonesha kiboxer cha kanga nyepesi kila wakienda kuoga simamisha de liboloo mkutane kwenye mlango wa bafuni
Back
Top Bottom