JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 506
Vizuri, kwahiyo haujui kanuni au misingi ya Ujamaa wa Mwalimu kwakuwa haukuusoma darasani?Mimi ujamaa wa Nyerere sikuusoma darasani nimeusoma maishani kwa vitendo. Isipokuwa ujamaa niliousoma nimeusoma Nchi moja ya Kikomunisti yaani Marxism huko Ulaya
Kama hautojali waweza kututajia ni ujamaa wa nchi gani huko Ulaya uliousoma?