Hiki kitendo cha wadada kutoka na kanga kwenda kuoga kiukweli kinatutesa sana sisi wanaume

Wana Jf natumain ni wazima wa afya.

Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii.kiukweli hapa nilipo panga tupo wapangaji wanne,mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa yaani nipo single.hawa wengine ni wadada kila mdada anachumba chake kiukweli wote hakuna alieolewa au anamme..

Kitendo kinachonikera ni hawa wadada kuwa wanatoka kwenda kuoga huku wakiwa wamevaa kanga moja.kiukweli hiki kitendo Mimi kinanitesa sana haswa nikiimagine nipo single, kiukweli imefikia hatua kama vile nimelogwa mda wote nikisikia mdada anatoka kwenda kuoga lazima nitoke nje kuchungulia nione kavaaje.

Kiukweli hii tabia sio nzuri hasa Kwa mwanamk au Binti Alie lelewa kimaadili huwez vaa kanga mpk viungo vyote vya mwili wako vinaonekan mwili wako unatakiw uonekane Kwa mume wako wa halali tuu sio Kila mtu aone mwili wako wanaume wameumbwa na maradhi ktk mioyo Yao hata km mwili niwako tujaribu tuu kuwa hata nahofu ya mungu hii dunia niyakupita tuu tuache mambo ya ajabu Kwan ukivaa kitenge kizito juu na chin nakanga juu kunauzito au ugumu gan? ? Tubadilike bhan sio sawa kabisa AMBAO NITAKUW NIMEWAKWAZ MTANISAMEHE SAAN

Inafikia hatua najifikiria hata kuwafanyia kitendo kibaya,jamani nimechoka na mateso haya.wadada mnatutesa Sana..
Kama ushawahi kukutana na mkasa huu haswa nyumba za kupanga niambie unafanya nini ili usijeleta madhara kwao??
USHAURI : "nunua sabuni JAMAA, piga puchi zako mbili" jipige kifua piga puchi ya tatu " tamaa itaisha na dushe litalala.
 
Wanavaa hivi?
IMG-20221128-WA0343.jpg
 
Wenye makosa sio wao tu! Hata wewe una makosa na hujiheshimu mwenyewe, asa unatoka mwenyewe kwenda kuangalia af unasema unakereka? Acha zako bana
 
Mtoa mada inabidi tumshauli akaupitie uzi wa kula tunda kimasihara ili akapate mbinu kabambe za kuwa gonga
 
Wana Jf natumain ni wazima wa afya,

Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii. Kiukweli hapa nilipopanga tupo wapangaji wanne, mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa, yaani nipo single. Hawa wengine ni wadada, kila mdada anachumba chake, kiukweli wote hakuna alieolewa au ana mume.

Kitendo kinachonikera ni hawa wadada kuwa wanatoka kwenda kuoga huku wakiwa wamevaa kanga moja. Kiukweli hiki kitendo mimi kinanitesa sana, haswa nikiimagine nipo single. Kiukweli imefikia hatua kama vile nimelogwa, muda wote nikisikia mdada anatoka kwenda kuoga lazima nitoke nje kuchungulia nione kavaaje.

Kiukweli hii tabia siyo nzuri hasa kwa mwanamke au binti aliyelelewa kimaadili, huwezi vaa kanga mpaka viungo vyote vya mwili wako vinaonekana. Mwili wako unatakiwa uonekane kwa mume wako wa halali tuu, siyo kila mtu aone mwili wako.

Wanaume wameumbwa na maradhi katika mioyo yao, hata kama mwili ni wako tujaribu tu kuwa hata na hofu ya Mungu. Hii Dunia niyakupita tuu, tuache mambo ya ajabu. Kwani ukivaa kitenge kizito juu na chin na kanga juu kunauzito au ugumu gani?

Tubadilike bwana, siyo sawa kabisa. Ambao nitakuwa nimewakwaza mtanisamehe sana.

Inafikia hatua najifikiria hata kuwafanyia kitendo kibaya, jamani nimechoka na mateso haya. Wadada mnatutesa sana.

Kama ushawahi kukutana na mkasa huu haswa nyumba za kupanga, niambie unafanya nini ili usijeleta madhara kwao?
Zpo wap hzo vyumba nije kupanga?
 
Kwann usiongee na wapangàji wenzako
 
Kuna mwaka nilipata chumba cha HIVI wapangaji wanne wote wa kike na wapo single ningeamia Mimi ningekua wa kium peke angu
Picha linaanza siku nayoenda kuangalia chumba namkuta mwenyeji( aliyeachiwa uangalizi wa nyumba) katoka kuoga yupo na kikanga chake bila ata uoga kanipeleka kunionyesha chumba na kikanga chake .Akawa ananishawish nihamie apo at kesho nilete vyombo Yeye atanipangia na usafi wa chumba atanifaniyia .
Niliona msala huu nikatafute sehemu nyingine
 
Wana Jf natumain ni wazima wa afya,

Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii. Kiukweli hapa nilipopanga tupo wapangaji wanne, mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa, yaani nipo single. Hawa wengine ni wadada, kila mdada anachumba chake, kiukweli wote hakuna alieolewa au ana mume.

Kitendo kinachonikera ni hawa wadada kuwa wanatoka kwenda kuoga huku wakiwa wamevaa kanga moja. Kiukweli hiki kitendo mimi kinanitesa sana, haswa nikiimagine nipo single. Kiukweli imefikia hatua kama vile nimelogwa, muda wote nikisikia mdada anatoka kwenda kuoga lazima nitoke nje kuchungulia nione kavaaje.

Kiukweli hii tabia siyo nzuri hasa kwa mwanamke au binti aliyelelewa kimaadili, huwezi vaa kanga mpaka viungo vyote vya mwili wako vinaonekana. Mwili wako unatakiwa uonekane kwa mume wako wa halali tuu, siyo kila mtu aone mwili wako.

Wanaume wameumbwa na maradhi katika mioyo yao, hata kama mwili ni wako tujaribu tu kuwa hata na hofu ya Mungu. Hii Dunia niyakupita tuu, tuache mambo ya ajabu. Kwani ukivaa kitenge kizito juu na chin na kanga juu kunauzito au ugumu gani?

Tubadilike bwana, siyo sawa kabisa. Ambao nitakuwa nimewakwaza mtanisamehe sana.

Inafikia hatua najifikiria hata kuwafanyia kitendo kibaya, jamani nimechoka na mateso haya. Wadada mnatutesa sana.

Kama ushawahi kukutana na mkasa huu haswa nyumba za kupanga, niambie unafanya nini ili usijeleta madhara kwao?
Itisha kikao uwaambie waache hiyo tabia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom