Recent content by ndege joni

  1. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    Tanzania yetu "Mnajua kuwa mbwa mwoga ni mbabe sana akiwa nyumbani ila nje anaficha mkia
  2. ndege joni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nani anayenufaika zaidi kwenye mahusiano?

    😂😂😂
  3. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Azam hana hiyo jeuri
  4. ndege joni

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kuna mchepuko umeninyima usingizi, Wacha nibeti mechi za kesho maana hawa Malaya sio wa kuendekeza
  5. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Nimeupitia nimepata kitu, niwaze aina nyingine ya gari
  6. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Mazda CX 5 inanifilisi!

    Shukrani Mkuu umenipa jibu kwenye Uzi wangu wa kuhitaji ushauri kuhusu Mazda CX-5.
  7. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  8. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Ndo akili yako ilipoishia hatukushangai, na wew unajiona mjanjaaa kwamba umeingiza watu mkenge 😂😂😂. Sema wengi hawamwelewi Mungu, wana picha za uongo tofauti na Mungu alivyo. Ameelezewa kwa ufahamu wa binadamu wenye upeo mdogo. Na hiyo ndo sababu wengi watakwambia hakuna Mungu. Ushauri wangu...
  9. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

    Sio utumwa tu, ni ushamba kiwango cha lami. Tena wengi ni jinsia ya kike
  10. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nimeripoti utapeli huu kwenye namba 15040 nimeambiwa namba haihusiki na utapeli, je ni kweli?

    Umeona screenshot ya mwisho? Inaonesha namba haihusiki na utapeli
  11. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nimeripoti utapeli huu kwenye namba 15040 nimeambiwa namba haihusiki na utapeli, je ni kweli?

    Jana nimepokea sms zile za "Jiunge na freemason upate utajiri n.k" Nilichofanya nikaforwad sms kwa namba 15040 na kutuma namba iliyonotumia. 👇👇👇
  12. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nina kibamia, kinanitesa mpaka sitamani kuishi

    Mwamba wew umelinganisha na nani ukaona chako ni kibamia? Kuanzia 6.6" na kuendelea ni abnormal. Kuanzia 4.5" -6.5" ni normal. Chini ya 4 ndio vibamia. Tafuta demu umtie adabu utanishukuru badae
  13. ndege joni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

    😂😂 Katika maisha yangu mtu mmoja hawezi kunifanya nichukie jinsia nzima ya Ke... Never Mapenzi ni sanaa kama mziki n.k kwamba you can date with any woman/girl na asikuchoke. Ukiona unatemwa na kila mwanamke kajifunze sanaa ya mapenzi kwanza ndio urudi. I mean shida sio jinsia ya Ke ni wew...
  14. ndege joni

    JamiiForums Tanzania The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology in Israel is effectively under the control of Satanic forces

    How much are you sure for your statement? Sometimes you don't have to argue for something you have no evidence. Maneno tu hayana ushahidi, pia tuondoe hisia binafsi
Back
Top Bottom