Recent content by ndati

  1. N

    Kenya vs Tanzania: Mbona Kuna Chuki?

    Tatizo huku kwetu tokea mlipovunja EAC 1977 na Kenya mkanufaika na investment kubwa zilizokuwa za pamoja especially rasilimali za ndege,, wa TZ tunakuwa makini sana kwa kila kitu ili lisije likajirudia tena,, waswahili tunasema ukiishaumwa na nyoka ukiguswa na jani unadhtuka sana
  2. N

    Wakuu wa Vyuo Tanzania, wakatazeni wanafunzi mikutano ya siasa

    kama tumefikia hapa ni bora kurudi ktk siasa ya chama kimoja
  3. N

    Kwa anaejua chuo cha ESAMI arusha plz atupe data!!

    niliisha hudhuria short course ya wiki mbili pale, nilichokiona ni kuwa wanachuo waliokuwepo karibu wote ni foreigners ,hasa kutoka Liberia, Senegal, Namibia nk nikashindwa kupata jibu juu ya mchanganyiko huo, na hata wakufunzi pia ni foreigners na posho zetu pia tulilipwa kwa dollars
  4. N

    Marufuku ya kusafirisha abiria usiku yapingwa vikali

    Kwa miundo mbinu yetu ya barabara ni risk sana kusafiri usiku, na hata ukifika salama ni kwa Kudra za mwenyezi Mungu tu lkn si kwa barabara hizi,.
  5. N

    Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

    Hamna namna,, ripoti ya utekelezaji wa mipango na bajeti ya serikali ndiyo kwanza ilikuwa imetoka,, na hao Ded waliohojiwa walionekana wamefanya vizuri sana, sasa lengo la Mkuu ilikuwa ni kuwapa kiki kwani alikwisha ona wako juu sasa wakamuangusha kwa kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi...
  6. N

    Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

    Acha kufuatilia sana,, kila mtu ana past zake,, ukiona anazikumbuka sana jua viatu ulivyo vaa havikutoshi ukilinganisha na X wake,, jiangalie wapi ulipojikwaa kisha anza upya mwendo kwa kwenda mbele wala usimuache
  7. N

    Watumishi saba wa Halmashauri ya Mafia wafukuzwa kazi

    Nnachojua ni kuwa mtumishi WA serikali analindwa na sheria vizuri sana, hivyo kama wameonewa watarudi tu kazini. Chamsingi walifikishe swala hili tume inayotetea haki za mtumishi
  8. N

    Ni sawa kufanya tohara? Kwanini muumba aliweka govi?

    Duh kwa kwetu kutairi ni kosa kubwa sana,, hivyo nakumbuka nilifanya tohara kwa shinikizo la mpenzi wangu wa enzi hizo,, ila raha ya ngono ilipungua kwa kiasi kikubwa sana,, hivyo naamini walio na mkono wa sweta hupata msisimko maradufu zaidi
  9. N

    Je, ni kweli ndoa za wasomi hazidumu?

    Inategemea tu mnavyoishi,, Mimi na mwenzangu wote tunamasters kwa zaidi ya miaka saba na sasa tuna Mwakatobe 16+ ya ndoa ila sijaona tatizo linalotokana na elimu wala kipato,, ingawa vijimambo vidogovidogo huwa havikosekani ktk ndoa
  10. N

    Kipi ni bora na busara zaidi kati ya kuasili mtoto na kulea mtoto wa ndugu?

    Wazazi wangu waletulea tukiwa na ndugu wengi lkn mwisho wa yote binamu yangu alimbebesha mimba dada yangu na kusababisha mfarakano nyumbani. Ni bora kuadopt kuliko kuliko kuliko kuchukua ndugu,, ndugu sikuzote ni wa upande mmoja either wa mme au wa mke lkn wa kuadopt ni wenu nyote pamoja Sent...
  11. N

    Riwaya: Nitakupata tu

    Pole zake Sana, kweli Mungu huchukua kilochobora zaidi
  12. N

    Rais Magufuli aamua kutuliza joto la vita vya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya

    Tatizo wakenya hatuwezi kuwaamini kamwe,, hata kipindi waliposababisha kuvunjika kwa jumuiya ya mara ya kwanza wao walitake advantage,, walizuiya karibu ndege zote zibaki kwao ndipo wakavunja jumuiya,, ni kama vile walipanga kututia hasara,, hatuwezi rudia makosa mara mbili.
Back
Top Bottom