YeahNi kweli na hadhi "mwanamume, mume" zinapotea
Hongera sana kaka, ubarikiweKuna exceptions.Wapo wenye elimu zinazolingana na wanaishi raha mstarehe.Mfano mimi na mke wangu tunalingana kila kitu kielimu.Tuna diploma na degree moja katika fani yetu .Wakati mwingine tunatofautiana mtazamo juu ya maswala kadhaa,lakini hatujawahi kupigana.
Tulichumbiana kwa miaka sita, tukafunga ndoa na sasa tuna miaka 12 Kwenye ndoa.Sijawahi kuona mke wangu anatunisha msuli kwa sababu ya elimu au kipato chake.
Tumepata mafanikio kadhaa pamoja,na pia tumewahi kushindwa pamoja. Tuna watoto watatu.Kila mmoja ana nia ya dhati kuwepo kwenye ndoa hii.Kwa hiyo likitokea tatizo tunalikabiri kwa nia ya kujenga familia,na si kubomoa(kuachana).Kama yeye mwenyewe anavyosemaga 'hapa ndio nimeshafika, ni mwanzo mwisho mpaka kifo'.
Kwa hiyo naamini wasomi wawili wanaweza kuishi pamoja na wakajenga familia bila kujali elimu na vipato vyao.
Kweli nam nipo kwenye mtihan hapa
Bora mkeElimu na Pesa kipi bora
Kweli nam nipo kwenye mtihan hapa
Umeshuhudia mume kugeuka houseboy lkn ujashuhudia mke anavobinua Kichuguu kitandani???Tena mwanamke akiwa na elimu mixer pesa za kumzidi mume ndio tatizo zaidi kwa kweli
Nimeshashuhudia mume kugeuka houseboy kwasababu ya kuzidiwa pesa na mke
Kichuguu ndio nini?Umeshuhudia mume kugeuka houseboy lkn ujashuhudia mke anavobinua Kichuguu kitandani???
Asante.Kwa uzoefu wangu,kama mwanaume na mwanamke wanapendana kwa dhati,fedha na elimu vinakuwa vichocheo vya mafanikio zaidi kwao.Hongera sana kaka, ubarikiwe
Ishieni hapo hapo kwenye Masters., msiende kutafuta PHD (permanent head destruction)Inategemea tu mnavyoishi,, Mimi na mwenzangu wote tunamasters kwa zaidi ya miaka saba na sasa tuna Mwakatobe 16+ ya ndoa ila sijaona tatizo linalotokana na elimu wala kipato,, ingawa vijimambo vidogovidogo huwa havikosekani ktk ndoa