Recent content by Ndama dume

  1. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee wangu Magufuli: Vijana kama Ole Sabaya watakuponza usipochukua hatua za haraka

    Nimeamua kukopy kabisa hili darasa jipya kichwani mwangu ila sidhani kama kutakuwa na mda wa kuoneana huruma pale itakapokuwa watu wanawajibika
  2. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Najiandaa kwenda kumpigia kura Tundu Lissu umbali wa km 200

    S Subiri tukufurahishe hiyo tahere tuone hiyo kura utaenda kumpigia akiwa Burundi labda maana maandalizi tayari keshafanya
  3. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Najiandaa kwenda kumpigia kura Tundu Lissu umbali wa km 200

    Wewe na nani kwa mfano wakati hata Polepole mwenyewe atampigia Lissu
  4. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Kitenge ana shughuli gani Marekani?

    Njoo huku tumjadili Bishop Rashid kwanza maana simwelewi kabisa kesho anaweza itwa Amina😂😂😂
  5. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bernard Membe?

    Ndio maana kaitwa kachero sasa kama hujui mbinu za makachero we endelea kumwamini Polepole ila jua mwaka huu ndio utajua maana halisi ya ukachero
  6. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Anatafuta wimbo wa Lissu

    Sio tu mikosi bali ni kuharibu future ya maisha yote hapa duniani
  7. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Gwajima umevuka vipimo

    Njoo nikuuzie dodoki huku hyo ni mchafu sana huwezi kumwosha kizembe hivyo
  8. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

    Ni wachache sana mlioelewa swali hili la mkuu Gent🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  9. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Sumbawanga mjini na wilaya zake

    Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia . Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa...
  10. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo (tukio) gani la kisiasa Kawe mpaka Wananchi wamekatazwa 'Kuzurura' hovyo Tanganyika Packers?

    Wamfanyie tu usafi ila sie hao tunaenda kusema kwa mama chato huko
  11. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

    Sasa kama hujui na kabila la Tl ni lipi si wewe ni ovyo tu. Moneomwanyokwe na veve
  12. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Kwa uzi huu hapa mimi ngoja nikanunue dagaa kwanza maana nahisi njaa tu,makomandoo na mausalama endeleeni kufungana kamba hapo mkichoka mkanywe kahawa kavu bila kashata 🤔🤔🤔
  13. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

    Nenda Tarime Nyamongo alafu uongee hivi kuwa kalifanyia nini taifa hili uone kama hujawahishwa kuzimu, maana hata mbinguni huendi kwa sababu una harufu ya shetan
  14. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

    Mbona sijaona mwingine kwenda kuomba picha ya kwenye gari na hiyo namba au ndio ujumbe wa kiaina fulani hiviii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom