Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

..anang'ara kwasababu ni mtu mwenye upendo.
 

Attachments

  • 1602095054732.png
    1602095054732.png
    1 MB · Views: 10
Hata Lowassa alipanda daladala kuwafuata walipo watu wengi. Lakini haikusaidia

Ni kweli kabisa, kwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi ulitegemea matokeo tofauti na yale?
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Anaangalia mpaka Magu ...mwisho wenu umefika wahamiaji haramu rudini kwenu..xenophobia
 
Kuna mambo mengi yanayomfanya Mh. Tundu Lisu ang'are kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka huu. Miongoni mwa mambo hayo ni haya yafuatayo:-

1) Tukio la kunusurika kuuwawa baada ya kupigwa risasi kule Dodoma. Watu wanajiuliza "NI YEYE KWELI" aliyepigwa risasi akanusurika na kifo? Kitendo hiki pekee kinashawishi watu waende kumuona ili kujiridhisha kama kweli ni yeye.

2) Vyama vya Upinzani havikuwa vinafanya kampeni kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2015 - 2020. Sababu hii inawafanya wananchi wawe na uchu wa kutaka kusikia ni kitu gani vyama vya upinzani wataongea kwenye kampeni zao?

3) Katika kipindi cha miaka mitano kuna mambo mengi yalijitokeza ambayo hayakuwafurahisha wananchi hasa kwa yale yaliyogusa maslahi yao. Hapa wananchi huenda kwenye mikutano ya Lissu kwa lengo la kutaka kusikia ana utetezi gani juu ya maslahi yao yaliyopotea?

4) Mtu maarufu anapokuwa haonekani machoni mwa watu kwa muda mrefu, hutengeza shauku kwa wananchi ya kutaka kumuona! Mbinu hii hutumiwa mara nyingi na wasanii ambapo muda mwingi, hasa mchana, huutumia wakiwa ndani wanakariri mashairi na mistari ya nyimbo au script za tamsilia, maigizo, au muvi zao wanazotaka kurekodi. Hivyo basi, Tundu Lissu alipokuwa Ubelgiji alikuwa mafichoni, ametengeneza shauku kwa wananchi ya kutaka kumuona na kumsikiliza akitoa ushuhuda juu ya tukio lake.

5) Umahiri wa kuongea wa Mh. Tundu Lissu kwa kutumia "logic", ni sababu nyingine pia inayomfanya ang'are kwenye kampeni za mwaka huu. Ujasiri wa kuongea mambo ambayo wengine wanaogopa pia kunamfanya ang'are kwenye kampeni hizi.

NB: Mimi siyo mwanachama wa chama chochote kile na sifungamani na upande wowote. Nimeamua tu kuandika ili kuwasilisha mawazo yangu kwenye mada hii kwa jinsi ninavyoona.
 
Kwa wapenda amani na wanaothamini haki na maendeleo ya watu anaonekana kama mkombozi
Kilichojitokeza ni mshangao kwani baada ya divai mpya kuletwa ya zamani watu hawaitaki,wapiga zumari wamechoka ama kweli sauti za wenye furaha zimekoma.kuna hatari walevi wasikubali chupa yao itumike kuwekwa divai mpya.poleni kwani badara ya furaha sasa vilio,waliotegemewa wametupa mgongo na divai hainyweki Wala ngoma hazichezeki sasa Ni mji wa machafuko..tumlaumu Nani divai hasha mzabibu hapana Tena hapana kabisa.Mungu ingilia na utuokoe na walevi Hawa. Ifanye hukumu yako I we ndiyo kanuni na haki kuwa timanzi.AMINA.
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Watu wengi Sana wanataka Jiwe ashindwe hasa wanaccm wenzie kwa aliyowatendea ila hawataki kujionyesha hadharani , wewe endeleeni kupigania mkate wako maana Jiwe 28 oktoba anasepa na nyie vibaraka wake mtafute kazi zingine za kufanya .
Screenshot_20201006-201630.png
 
Why do you think there is a court?

Add Wisdom boy

These forums are not for legal jurisdiction but for construction of plausible arguments on hidden truths basing on available facts and logic. That’s the wisdom. Threats are useless here. So, forget about courts; just articulate the upending counter argument.

To the sage, the aftermath of the failed assassination of Tundu Lissu points a finger directly at the mastermind. We’re in a country where no feat of such evil magnitude just occurs and fades quietly under the radar with the powers that be displaying total disdain and lack of enthusiasm for bringing forth the truth and meting deserved justice.
 
Watu wengi Sana wanataka Jiwe ashindwe hasa wanaccm wenzie kwa aliyowatendea ila hawataki kujionyesha hadharani , wewe endeleeni kupigania mkate wako maana Jiwe 28 oktoba anasepa na nyie vibaraka wake mtafute kazi zingine za kufanya .View attachment 1593525
We jamaa utakua siyo mzima kichwani. Yaani huu upuuzi wako unataka kumuaminisha nao nani? Eti Lissu atashinda kwa 85%. Mtu akurupuke alipotoka huko aje ashinde urais, wakati kuna watu wamefanya kazi ya kuijenga na kuibadilisha nchi hii kwa miaka 5 bila kuchoka. Au unahisi watanzania ni wajinga kama wewe. Subiri uone tarehe 28
 
Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.

Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.

Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda.

NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
mahaba ya dhati
 
Back
Top Bottom