Elimu haiwezi kuacha kuwa dili, inatakiwa ujue elimu na kuelimika ni vitu viwili fofauti. hao unao sema wamesoma ni kweli wamesoma na hakuna anayekataa eti hawajasoma ila ukweli mwingine ni kwamba wamesoma ila hawajaelimika.
Kuna watu mtaani hawajaenda shule kupata formal education ila...
Mi nilidhani TCRA wanadili na media halafu bodi ya ithbati wanadili na mtangazaji kama mtangazaji anamiliki hiyo media basi bodi na TCRA wanashugulika nae kumbe Kumbe TCRA wanasogeza pua hata kwa mtangazaji ambaye hamiliki media hili ni tatizo.
Ila tatizo kuu ni TCRA na bodi kutumika...
Jeshini hakunaga kaunda hizo, labda samuya aambataene nazo akielekea huko. sasa hapa kaunda zimeambatana na mkuu wa majeshi. bado tu hujaelewa maana yake?
mimi huwa situmii ideas sababu sijali kuhusu kukataliwa, mke ninae hivyo sitegemei kuanzisha mahusiano yenye malengo mengi nje ya ndoa. Bas huwa naomba mzigo kwa nodhamu ya juu direct huku nikimuangalia ana kwa ana sababu sipigi simu au kuchat kwenye hili.
eye contact itathibitisha vile niko...
wewe jama unafeli sana, kuna wanawake wanapenda watu smart kichwani, akikusikia unavyopangilia fact tayari yeye analowa hapo bado hujaanza kumletea za kumtaka.
Mke wangu alikuwa ni pisi ya kwenda yaani huyo Rihana changanya na manzi mwingine mkali unayemjua. Mtoto wa kwanza wa pili mafuta yakaanza akapata ka kitambi flani hivi sema tu yuko na salio anabalance equation yaani na vile sipendi vitambi.
Nahisi zele vocha alizokuwa anatoa inaweza ilikuwa ni operation maalumu ya ku_ID watu humu, ukiweka vocha wana namba yako ya simu jina na nida au inaweza kuwa ilikuwa vocha tu.
Wewe ilitakiwa uende hapo shuleni ukiwa na barua ya mtoto wako kupangiwa hapo. Hakuna anaye kataa seme ni wewe tu ndo unatengeneza mazingira ya rushwa.
Tuwe tunaangalia mpira wazee analysis pekee haifai, Naangalia Napoli anavyocheza hadi inaniuma kumuweka kwenye mkeka wangu, yaani sipendi timu inayotegemea mipira ya krosi ndo ifunge.
Yaani wanacheza kama mashoga. Utaratibu wangu mpya sibetii timu inayopenda mipira ya krosi
saivi timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.