Mimi nimesoma kwa Fidel , najua ni Boss lady halafu roho safi Uzi wa Jf voucher alikuwa anasambaza upendo mpaka wakina mbagaJr wakawa wanamfuata PmUmejuaje 😂.
Lakini kusema ukweli pamoja na ukabwela wangu mimi sijawahi kumpiga vizinga huyu bibie. Ila namkubali sana bhana 😂.Mimi nimesoma kwa Fidel , najua ni Boss lady halafu roho safi Uzi wa Jf voucher alikuwa anasambaza upendo mpaka wakina mbagaJr wakawa wanamfuata Pm
Big up dogo 👍🏿= She has been taken .
We jamaa banaKwahiyo umekuja kujiulizia kwa ID yako nyingine?
Nahisi zele vocha alizokuwa anatoa inaweza ilikuwa ni operation maalumu ya ku_ID watu humu, ukiweka vocha wana namba yako ya simu jina na nida au inaweza kuwa ilikuwa vocha tu.Namtafuta Bantu Lady hivi mme muona wapi ?