Siku hizi hakuna wakenya wanaoingia soko la kilombero kununua vitunguu, wakenya wanaenda shambani moja kwa moja mang'ola kununua, hapa kilombero wanunuzi ni wamama na wafanyabiashara wengine wanaopeleka kwenye masoko ya ngaramtoni, usa river, sadala nk. pamekua pa tofaut sana kilombero sio kama...