Naomba ushauri, naogopa kumuoa huyu mwanamke

Naomba ushauri, naogopa kumuoa huyu mwanamke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzeya sii ymesikia lakini ushauri kutoka kwa mwanamke mwenye busara zake...sasa wewe jidai unajua kupenda kuliko wanaume wote hapa duniani utakuja kusimulia hapa.....unless mzeya una mpango wakupiga threesome, wewe huyu mrembo na bby dady wake
 
Unamaanisha nini unaposema kuoa
1. Je unataka kufunga nae ndoa
2. Unataka kuishi nae tuu kama wanandoa.

Kama unataka kufunga ndoa ni bora ukaishi nae kwanza At least mwaka mmoja na nusu ili uone reaction zake.
Namaanisha ndoa kiongozi ila sawa ntafanyia kazi ushauriwako
 
kikubwa omba sana Mungu akupe maono kama huyo uliyenaye ndio au laah, ukienda kwa akili za kibinadamu na hisia muda mwingine zitakuingiza chaka
 
Mzeya sii ymesikia lakini ushauri kutoka kwa mwanamke mwenye busara zake...sasa wewe jidai unajua kupenda kuliko wanaume wote hapa duniani utakuja kusimulia hapa.....unless mzeya una mpango wakupiga threesome, wewe huyu mrembo na bby dady wake
Nimesikia vizuri kiongozi
 
Habari wanajamii,

Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje

Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.

Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.

Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi kiukweli.

Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.

Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..
Moja,
Mwanamke kuwa na mtoto lazima amezaa na mwanaume. Hili ulilijua toka siku umeelezwa ukweli kuwa ana mtoto.
Mbili,
Changamoto zipo kwa kila mwanamke. Zinatofautiana toka kwa mmoja au mwingine..!! Na hata kama hajazaa, bado atatongozwa hadi siku anakufa
 
**** jamaa mmoja ameleta huo msamiati mpya wa mbususu.
Kipochi manyoa, nyena, punani, papuchi, mbususu na sasa mchavenga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyapu
Makidire
Kiwatengu
Chururuuuuu
Waka waka
 
Mimi ni mwanamke lakini siamini kama kuna kuachana kati ya mtu na mzazi mwenzake(sijaandika kwa ubaya)
Huwa tunaongozwa zaidi na hisia japo wapo wenye misimamo

Wewe fanya unachoweza,kama ataamua kuwa muaminifu sawa...ikiwa ni kinyume chake pole in advance
Bora yako umeongea ukweli.

Na huyo mtoto ni sio wako hata iweje bado atakua wa jamaa tu, hata ubadili jina jamaa akirudi ni rahisi kurudisha mahusiano kupitia huyo mtoto.

Ushauri wangu ni asimuoe japo hata hapa ameandika kihisia hisia zaidi
 
Habari wanajamii,

Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje

Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.

Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.

Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi
Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.

Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..
We mwenyewe ushasema changamoto ni nyingi sana,sasa unataka nini tena?Binafsi sikushauri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli wakishaanza kusema tunapendana unaona jau kushaurii!! Apo angesema tu mimi nampenda mana moyo wa mtu kichaka
Hii kauli ndo inaponza watu kubaki sehemu matokeo yake maumivu tu
 
Chukua zigo hilo weka ndani wewe, maisha yenyewe mafupi haya as long as mnaelewana na mnapendana...life is too short...mm mwanamke hta kama ana watto kumi kama namuelewa na tunapendana sioni shida.
 
Back
Top Bottom