Wake zetu msilalamike kuwa tunachepuka, ninyi ndio mnasababisha

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
2,570
3,763
Habari zenu wadau?

Nafikiri baadhi yenu humu mmeoa na kuolewa ila kuna suala moja la wake zetu kufanya vitu ambavyo nitofauti kidogo hasa kwenye ndoa.

Unaishi na mwanamke kutokana na mazoea ya kuishi nae mda mrefu hamna siku akakwambia nakupenda mme wangu, unarudi kazini umechoka hata pole na kazi mme wangu, Labda kakuaga kwenda sehemu akirudi hata kukwambia za mida mme wangu au unaendeleaje? Hakuna yaani inshort caring ya husband hamna zaidi ya kukupikia na kukupa papuchi.

Wanawake jirekebisheni mnapo ingia ndoani mpe care mmeo sio lazima kila siku, hata siku moja moja sasa ww sio uingie ndoani kisa maisha yalikupiga mtaani mnafeli sana.

Baada ya siku moja umepata zako kimchepuko na kama unavyo jua vimichephko vinavyo care, hata ukijamba unaambiwa baby pole hujaumia? Mke akigundua anaaanza kujiliza liza m@maee, nawasilisha badilikeni.
 
hiki ndio chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika, wanawake wengi wakishaolewa wakajaliwa watoto wanajisahau kabisa kuendeleza wajibu wao ndipo pale michepuko inapata mwanya wa kuteka mume wa mtu. wanawake wanatakiwa waendelee kufundwa ili ndoa iwe salama na amani wao ndio player maker.
We acha tu, yaani wasilaum kabisa maana sisi wanaume huwa jnatubidi tuitafute furaha popote pale.
 
Habari zenu wadau?

Nafikiri baadhi yenu humu mmeoa na kuolewa ila kunasuala moja la wake zetu kufanya vitu ambavyo nitofauti kidogo hasa kwenye ndoa.

Unaishi na mwanamke kutokana na mazoea ya kuishi nae mda mrefu hamna siku akakwambia nakupenda mme wangu, unarudi kazini umechoka hata pole na kazi mme wangu, Labda kakuaga kwenda sehemu akirudi hata kukwambia za mida mme wangu au unaendeleaje? Hakuna yaani inshort caring ya husband hamna zaidi ya kukupikia na kukupa papuchi.

Wanawake jirekebisheni mnapo ingia ndoani mpe care mmeo sio lazima kila siku, hata siku moja moja sasa ww sio uingie ndoani kisa maisha yalikupiga mtaani mnafeli sana.

Baada ya siku moja umepata zako kimchepuko na kama unavyo jua vimichephko vinavyo care, hata ukijamba unaambiwa baby pole hujaumia? Mke akigundua anaaanza kujiliza liza m@maee, nawasilisha badilikeni.
Wanajifunza wameelewa
 
Back
Top Bottom