God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,529
Kazi ya mkulima inaishia kwenye kukata kitunguu kuanzia kuchambua kugonga na kupakia hiyo ni kazi ya mnunuziNimekuelewa.
Lakini hujanijibu.
Ni kwamba vitunguu unachukulia shambani maana yake wanachambua wanapakia kwa gunia unaona au ubakuta tayari gunia wanakuambia hii grade 2 sh kadhaa.
Huwa magari yanaingia mpaka shambani na ikiwa kuwa gari haliingii mnunuzi na mkulima watachangia hasara ya kupeleka kitunguu kwenye gari