Omba Mungu asikuletee like gonjwa ukaanza kula njugu. Sema tatizo wakiwa wa natoka nje akili zao zinaendesha na genye so hata condom hawaulizagi na jicho wanaliwa vizuri tu bila shida. Kwahy kukuketea ungonjwa ni 100% so ukihisi tu wewe km huwezi mfukuza bora uondoke wewe.
Sent using Jamii...
Hili ndio tatizo jingine la private co....Matajiri kamwe hawataki kudhamini mtu Bank. Na bank wanahutaji kitu kama hiko...so watu wanabaki njia panda....
Sijawahi kuwa na wasiwasi wa nani tutakutana nae after makundi hata miaka tuliyoingia fainali yote nadhani tulikuwa wa 2 pia. Hii mechi nilijua ngumu kutoka sababu napoli wangepania sana...ndo maana mwanzo nilisema asichoshe wachezaji apange tu akina lallana na shaqiri ili tumuwaze chelsea maana...
Hili kundi kwa vyovyiote tutapita. So sioni sababu ya kuumiza watu kwa hii game ya ugenini ya Napoli.
Pumzisha Van dyk ...weka lovren na Gomez
Pumzisha robertson mweke milner
Weka Mane bench panga Lallana kule
Weka salah benchi panga Shaqiri
Weka Firminho benchi panga brewster mbele
Anord...
Haya tunayoongea wala hayataweza kutokea mpaka tutakapotiana Adabu ndio wataamka usingizi na watafanya mambo kwa maslai ya Taifa sio ya Chama. Ila kwa sasa wapo kwenye Mode ya "Sikio La Kufa"[emoji88]
Kwani wanashida na mipango na wakati wana polisi na tume. Yaani wewe wa ajabu. Yaani niwe rais wa nchi hii halfu nihamgaike na mipango ya uchaguzi...Serious?? Naamrisha tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.