Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 273
- Thread starter
- #21
Yeyote atakae ni nisaliti.Utatoa misukule watu wangap
Yeyote atakae ni nisaliti.Utatoa misukule watu wangap
Hii hatari unaweza tatuliwa marinda na kipande cha nyama!Ukichapiwa nawe tafuta mnyonge umchapie kumaliza hasira
Ndoa Zina Mambo mingi manSipati picha nikijua mke wangu kagongwa nje..aisee hili swala halivumiliki,nitakuwa kama nimemeza tofali
Hivi kuna watu wanajua 100pc kuwa wamegongewa na wakaendelea kuwa na mkewe??
Atakuwa na shida kiafya hivyo anaficha aibu yakuamniwa hajiweziHilo mbona dogo kuna staff mwenzangu analea mimba sio yake na yy mwnyw anajua kbsa maana mkewe huwa anatoka anaenda kukaa kwa mabwana zake huko anachapwa nao hata mieiz miwil mitatu afu anarudi...jamaa hana jinsi maana kaoa ndoa ya kikristu!! Na yy ni mwimba kwaya mzuri sana pale st.....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ukioa ndiyo utajua kulia utashndwa wala kumwambia mtu maana utajiona fala watu wakijua mke wangu anauza mechi ugenini,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sina mke,ila nimeona hiyo ndio dawa yao!
Zaid 50% ya wanaume washapigwa juju na wake zao, wanawake wanajua exactly akidakwa kwa kuzini ataachika na hawawezi kujizuia pia so njia sahihi ni kumroga mumeHilo mbona dogo kuna staff mwenzangu analea mimba sio yake na yy mwnyw anajua kbsa maana mkewe huwa anatoka anaenda kukaa kwa mabwana zake huko anachapwa nao hata mieiz miwil mitatu afu anarudi...jamaa hana jinsi maana kaoa ndoa ya kikristu!! Na yy ni mwimba kwaya mzuri sana pale st.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki nimecheka vile.Habari wana MMU,
Bila kupoteza muda nimeona njia sahihi ya kumkomoa mke mchepukaji ni kumgeuza msukule ili urudishe hasara ya kugongewa,Pia itakusaidia kuongeza kipato chako mwisho was siku Unakamata chombo kingine.
Sio mtu unahudumia halafu yeye anagawa tu papuchi.
duh..we jamaa unaonekana ni mhafidhina mbaya kabisa😀Kosa la mke kugongwa halivumiliki, halisameheki wala halisahauliki. Asikudanganye mtu. HALIFUTIKI
Kwa Mwanaume Makini na anayemjua Mungu hawezi kuchangia huu uzi( ujinga) ikiwzekana aukosoe au kuipinga ,haijalishi unsalitiwa vip lakini utu ubaki kuwa utu tuu.
Unless kama Mwanaume hacheat basi ni bora ukaachana nae au ukapita hivi ila utu ubaki kuwa utu tuu.
pujo karibu
Anakuwa msukule akikufanyia nini labla🤷Hii hatari unaweza tatuliwa marinda na kipande cha nyama!
Pindi akichepuka wakati Mimi nampatia huduma zote muhimu,Hapo lazima akawe msukule kwenye biashara huko!Anakuwa msukule akikufanyia nini labla🤷
😅😂😅😂msalmie mkeo/dem yako au mchepuko waambie wapambane 🏃🏃Pindi akichepuka wakati Mimi nampatia huduma zote muhimu,Hapo lazima akawe msukule kwenye biashara huko!
Huyo kalogwa hana akili.Hilo mbona dogo kuna staff mwenzangu analea mimba sio yake na yy mwnyw anajua kbsa maana mkewe huwa anatoka anaenda kukaa kwa mabwana zake huko anachapwa nao hata mieiz miwil mitatu afu anarudi...jamaa hana jinsi maana kaoa ndoa ya kikristu!! Na yy ni mwimba kwaya mzuri sana pale st.....
Sent using Jamii Forums mobile app