Recent content by natus

  1. N

    Sifa moja ya hawa marais wetu ni kwamba wote hawajazaliwa kabla 9/12/1961

    Kabila gani linaweza thubutu kudai ndio wazawa wa asili wa TZ? Hakuna. Tunadanganywa na hawa waliosoma masomo ya ujanja ujanja na rahisi ya historia, lugha, utamaduni, nk na bahati mbaya wengi wamejipenyeza kwenye siasa na utawala. Tuheshimiane. Kabila letu kwa sasa sisi ni Watz au ukipenda...
  2. N

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Hapana Brigit86, hakuna dhambi au uovu ambao Bwana Yesu kristo hawezi kusamehe, Yeye anasamehe dhambi na uovu wa aina yote. Wala kwake hakuna dhambi kubwa au ndogo. Tena kwake hakuna dhambi ya kawaida na au isiyo ya kawaida. Usiogope huo ni mzigo kuna pa kuutua na maisha yakaendelea (Mathayo...
  3. N

    Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Hapana siyo kweli ndugu yangu Sky Eclat. Bwana Yesu halisi hakuacha picha wala taswira ya sura yake ya namna yoyote ile. Tena taswira za inayodaiwa kuwa ni ya Bwana Yesu ni janja ya shetani kuwaingiza watu kwenye Ibada ya sanamu (Habakuki 2:18). Jihadhari hizi ni siku za mwisho ni siku za...
  4. N

    Kigwangalla: Kuzamisha mitumbwi si kuruhusu kuua. Ni kutuma salamu kuwa Tanzania inapaswa kuheshimiwa

    Iwapo umebabatika kufika ktk maeneo walikopatiwa makazi wakimbizi hususani kutoka Burundi, hali ya usalama ni mbaya utafikiri si Tz. Watz wenzetu wanauawa na wakimbizi hawa, we acha tu. Jamaa hawa jirani zetu walikwishakata tamaa hivyo roho ya utu ilikwishawatoka. Wanachinja ndugu zetu Waha kama...
  5. N

    Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Jengo la msikiti ukiliona limefikia hatua kubwa na litakuwa limechukuwa muda mrefu hadi kufikia hapo. Kwa vyovyote Serikali kupitia Idara zake ilihusika na hasa Ardhi, majengo na mipango miji. Kelele? Mbona watu wa imani zote hapa Tz hata S'wanga bila shaka wanaelewa baadhi ya taratibu za...
  6. N

    Kwa sisi wenye akili kidogo ile kusoma mikozi migumu chuo ulikua ni haifai

    Napoleon, pole sana! Kwa TZ ukitaka ku - win ajira nzuri yenye future soma lugha, saikolojia, sheria, human management, policy making, ubalozi. Kwa jumla haya masomo ya nadharia ambayo ili kujitutumua wanaita pia sayansi ili angalau kuyapa uzito na heshima. Uliyesoma utabibu, kilimo, uandisi nk...
  7. N

    Malipo ya madeni kwa watumishi wa Umma kwa mwezi wa tatu

    Inasemekana na kukadiriwa kuwa 50% au zaidi ya watawala wetu kwa sasa ni walimu, wanatoka kwenye ualimu wa shule za msingi, sekondari. Walihitimu 'O' level daraja la IV au la III wakawa walimu wetu wa shule za msingi. Wakatengeneza vyeti (through QT) wakasoma kidato cha V na VI kwa njia ya posta...
  8. N

    Malipo ya madeni kwa watumishi wa Umma kwa mwezi wa tatu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. N

    Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Ndugu yangu Nyani, wamekukwaza kwa kweli unastahili kughadhibika. Pole sana. Binafsi mie nakukubali na kupitia michango yako nilikwisha gundua kuwa wewe ni mchangiaji huru. Huna upande. Wanakuongopea. Akutukanaye. Hata hivyo, kama tunataka kuiimarisha Forum yetu tujitahidi kujenga hoja zenye...
  10. N

    Uchunguzi wa UN wa mauaji ya Wanajeshi wa Tanzania Congo umeonesha kuna mapungufu katika mafunzo ya vikosi vyake

    Hapana kwa tulopita jeshini, wewe lisikie tu shambulio la kushtukizwa (ambush). Ni balaa! Hata mtoto mdogo anakupiga anavyotaka. Yaliyosemwa na UN juu ya udhaifu wa MONUSCO naunga mkono. Hawako vizuri ktk mafunzo ya kukabiliana na matukio ya ambush. Watu wanakabiliana na ambushers muda wote ule...
  11. N

    Malipo ya madeni kwa watumishi wa Umma kwa mwezi wa tatu

    Ndugu kisingi niambie! Kuna watumishi wanaomba kustaafu kwa hiari kufuatia tetesi kuwa muswada umesainiwa na Bunge wa wastaafu kuwa watakuwa wakilipwa 38% ya kiinua mgongo na zinazosalia kulipwa kwa mwezi. Imewatisha na kuwavunja moyo watumishi wengi wa Serikali hususani waliobakiza miaka 10 -...
  12. N

    Baba ake Ommy Dimpoz alalamika kutengwa na mwanae

    Hapana ndugu, watoto tunapaswa kuwategemeza wazazi wanapokuwa wameanza kuishiwa uwezo wa kufanya kazi. Huu ni utamaduni na desturi yetu nzuri na yenye kufaa Watanzania tulirithishwa na mababu zetu vizazi na vizazi. Hata mwenyezi Mungu anatufundisha na kutuhimiza juu ya hili. Ni wajibu...
  13. N

    Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Ndugu MSIMISEKI S... ulilosema hapa nalikubali. JF ukichunguza baadhi ya articles watu wanaandika uongo. Haitosaidia. Sana itatujengea mazoea na baadaye tabia ya kuwa watu waongo na wazushi. Tabia mbaya. Jambo kama hili kabla ya kuwahabarisha wana JF wenzio hakikisha umefanya uchunguzi wa kina...
  14. N

    Msaada: Mke wangu anapenda sana kujichua(Masturbation)

    Katika Kitabu cha Mathayo 11:28 Bwana Yesu kristo anakualika uende kwake atalikomesha hilo tatizo lako. Ni dogo sana Kwake. Wewe na mkeo wote mnaendeshwa na mapepo ya uzinzi na uasherati. Tafuteni Kanisa la Kipentekoste, mtaombewa, demons hao watapigwa kwa moto wa Roho Mtakatifu na watakimbia na...
  15. N

    Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    Kunradhi, Reucherau, wewe ni muumini ktk imani gani zilizopo hapa Tz. Iwapo ni Mkristo, Je, waweza kuwa hujui kwa nini Israel mpaka leo ni Taifa teule na Takatifu kwa Mungu Yesu Kristo, Mungu aliye hai aliyeumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo? Kwani mkono wako kunajisika kwa kuchafuliwa...
Back
Top Bottom