mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,710
- 7,219
Punguza hasira MkuuSiku hizi ukiandika hivi unaenda jela miezi 6 bila dhamana wala rufaa, japo wishes zangu zilezile Mungu ampende zaidi tuchague mwingine
Punguza hasira MkuuSiku hizi ukiandika hivi unaenda jela miezi 6 bila dhamana wala rufaa, japo wishes zangu zilezile Mungu ampende zaidi tuchague mwingine
Jamaa katekwaDah kweli watu wameamua.
Na nani MkuuJamaa katekwa
AminaNdugu yangu Nyani, wamekukwaza kwa kweli unastahili kughadhibika. Pole sana. Binafsi mie nakukubali na kupitia michango yako nilikwisha gundua kuwa wewe ni mchangiaji huru. Huna upande. Wanakuongopea. Akutukanaye. Hata hivyo, kama tunataka kuiimarisha Forum yetu tujitahidi kujenga hoja zenye mashiko, hoja zenye nguvu (Isaya 41:21).Hatujielewi tu kwani kupitia JF tunaisaidia sana Serikali na watawala wetu kutawala Nchi. Tunawasilisha mawazo ya waTz wengi kwa kuipongeza, kuikosoa, kuishauri, kuitahadharisha Serikali nk. Nitashangaa sana mtu atakayejitokeza ati kuipiga marufuku JF. Tunaoandika humu ni watu wa kawaida sana ungetuona lakini tunatoka kwenye 80% ya watawaliwa ambao ukitaka ustawi wa Nchi ni kujua ni nini msimamo na matakwa ya kundi hili kubwa. Bwana Yesu kristo ibariki JF pamoja na nchi yetu nzuri.
MaliziaIsijekuwa ngabu.
Ndugu yangu Nyani, wamekukwaza kwa kweli unastahili kughadhibika. Pole sana. Binafsi mie nakukubali na kupitia michango yako nilikwisha gundua kuwa wewe ni mchangiaji huru. Huna upande. Wanakuongopea. Akutukanaye. Hata hivyo, kama tunataka kuiimarisha Forum yetu tujitahidi kujenga hoja zenye mashiko, hoja zenye nguvu (Isaya 41:21).Hatujielewi tu kwani kupitia JF tunaisaidia sana Serikali na watawala wetu kutawala Nchi. Tunawasilisha mawazo ya waTz wengi kwa kuipongeza, kuikosoa, kuishauri, kuitahadharisha Serikali nk. Nitashangaa sana mtu atakayejitokeza ati kuipiga marufuku JF. Tunaoandika humu ni watu wa kawaida sana ungetuona lakini tunatoka kwenye 80% ya watawaliwa ambao ukitaka ustawi wa Nchi ni kujua ni nini msimamo na matakwa ya kundi hili kubwa. Bwana Yesu kristo ibariki JF pamoja na nchi yetu nzuri.
Yeye ameelewa...Kwa nini unasema anatumika
Huyo ndiye nyani halisi, sema saivi hapandi miti...anatambaa tu..Pole yako. Nyani aliyeandika mada hii amebadilika
Kwa sasa ni tumbili labda sawa au ndiye yule tumbili aliyeunga mkono juhudi
OkayYeye ameelewa...
Hata mimi sioni kosa lake. Kumuunga mkono au kutomuunga si kosaLakini sioni kosa lake. Mpaka Wabunge na Madiwani wanabadili misimamo na itikadi zao za awali kumuunga mkono Mtukufu...naye followed the same path....
Kwa wiki hakosa thread angalau mbili kuwakandia Makamanda....He is smart enough that he doesn't openly give credit to Mtukufu. But in disguise through undermining some of the opposition Parties...Hata mimi sioni kosa lake. Kumuunga mkono au kutomuunga si kosa
Oohooo...Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Wewe na UKUTA wako ndio mmeshindwa!Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
DuhKwa wiki hakosa thread angalau mbili kuwakandia Makamanda....He is smart enough that he doesn't openly give credit to Mtukufu. But in disguise through undermining some of the opposition Parties...