Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Kuwa na akiba ya maneno ni muhimu sanaWAFUFUA MAKABURI kazini..
Kuwa na akiba ya maneno ni muhimu sanaWAFUFUA MAKABURI kazini..
Huu usaha lazima avimbiweBwa ha ha ha ha.. Just haha ha ha
achana na wang'oa kucha..cc mng'oa kucha
Kwi kwi kwi, sasa taulo limedondoka umeamua kubong'oa kabisa kuliokota? hapo ndio unazidi kuharibuNgoja nianze na kukosoa matakoo yako kwanza.
Sawa?
Kwi kwi kwi, sasa taulo limedondoka umeamua kubong'oa kabisa kuliokota? hapo ndio unazidi kuharibu
Huna lolote wewe! Usifanye watu hawana uwezo kugundua mabadiliko ya fikra za MTU.Kabisa kwenye akili zetu mnadhani nimebadilika?
Kabisa mnadhani ndo nimeaibika?
Kabisa mnadhani mmegundua bonge la siri?
Hakika aliyewaita nyumbu hakukosea hata kidogo!
Huna lolote wewe! Usifanye watu hawana uwezo kugundua mabadiliko ya fikra za MTU.
Vinginevyo ni we mwenyewe hujitambui
Hilo ndio anakwepa kulijibu, anaruka ruka kama maharage jikoni. Atuambie iweje sasa anapoharibu zaidi ndio amegeuka kuwa na haiba na ushamba umeisha?vipi jamaa anahaiba sasa ya urais? anafaa sasa kua raisi, ni mjanja sio tena mshamba?
Mchane tena Magufuli Nyani
vipi jamaa anahaiba sasa ya urais? anafaa sasa kua raisi, ni mjanja sio tena mshamba?
Punguza povu nyaniWewe na nyumbu wenzako hamna uwezo wa kugundua chochote ndo maana mnajichekesha hapa kana kwamba mmegundua jambo jipya wakati hakuna kipya.
Akili zenu ndogo zinawatuma mdhani kila mtu ni lazima ama awe CHADEMA au CCM.
Hamna kabisa uwezo wa kutambua na kung’amua kuwa si kila mtu yupo hivyo.
Nimeshamchana sana Magufuli hapa na ukweli huo wala siyo siri.
Nimeshawachana sana CHADEMA na wengine wa upinzania. Na ukweli huo wala siyo siri.
Sasa hivi vigelegele mnavyopiga hapa ni vya nini? Mmegundua jambo jipya ama?
Mlikuwa wapi siku zote nilizowahi kumpinga Magufuli humu?
Mbona ni suala lililo wazi kabisa!
Nawachana CHADEMA, namchana Magufuli, naichana CCM, naichana ACT, nawachana wote nisiokubaliana nao.
Au wewe na wenzako katika akili zenu mnadhani huwezi ukakubaliana na mtu katika suala moja na ukatofautiana naye katika jambo jingine?
Majuha kabisa nyie. Eti mmefukua makaburi!
Makaburi gani hayo?
Nina nyuzi mia kidogo humu zinazoichana CCM, Kikwete, Magufuli, Mkapa, Mbowe, Lissu, Zitto, na wengineo wengi tu.
Siku zote mlikuwa wapi msiyajue hayo?
Pumbavu kabisa. Na ndo maana nasema hamna akili na hilo bandiko mmelisoma lakini hamjalielewa.
**** kama jiwe.
Kuna kila dalili mshiko wa phase two umecheleweshwa hivyo hii ni njia ya kuwakumbushaHaiba hana. Hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo. Lakini kwa sasa ndiye rais halali wa nchi, hata kama wengine ukweli huo unawauma.
Anafaa kuwa rais? Kwa mtazamo wangu hafai. Lakini hilo si hoja maana yeye ndiye rais kwa sasa.
Nimejibu maswali yako?
Punguza povu nyani
Kuna kila dalili mshiko wa phase two umecheleweshwa hivyo hii ni njia ya kuwakumbusha
Changudoa sio lazima atege wanaume tu wengine ni wale wasiokuwa na msimamo kama wewe (kahaba wa JF). Tunamshukuru mfukua kaburi hili inaonyesha jinsi gani usivyo na msimamoMiezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?