Mungu anaweza kufanya mabadiliko mazuri. Ila inauma sana.Utasubili sana, Mimi binafsi ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
R.I.P KingungeUtasubili sana, Mimi binafsi ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
Wacha ni mie!Watumishi wa Umma bado tunasubiri tena tamko kuhusu wenye haki ya kupata fedha ambazo tulistahili kupewa mwezi uliopita.
" Kwa watu wa imani ni muda muhafaka wa kumshirikisha MUNGU ili kusiwe na kukwazo"
Tutajuta msimu huuUkweli ni kuwa serikali haina pesa hivyo hakuna malipo kwa wastaafu wanaodai kama vile wastaafu wa ATCL na waliotoa huduma mbali mbali serikalini. Nimepata taarifa kuwa uhakiki unarudiwa na hii ndio mbinu ya mkulu ya kutolipa. Walimu nao asilimia sabini hawajalipwa nao eti wanarudia uhakiki.
Kwani hamjalipwa? Tuliambiwa mnalipwa mwezi Februari. Ilikuaje ?Watumishi wa Umma bado tunasubiri tena tamko kuhusu wenye haki ya kupata fedha ambazo tulistahili kupewa mwezi uliopita.
" Kwa watu wa imani ni muda muhafaka wa kumshirikisha MUNGU ili kusiwe na kukwazo"
Uhakiki sijui utaisha lini. Ajira akitoa, anatoa kwa mafungu kama watumishi wa Wilaya moja. Inabidi akiri tu nchi ishamshinda.Ukweli ni kuwa serikali haina pesa hivyo hakuna malipo kwa wastaafu wanaodai kama vile wastaafu wa ATCL na waliotoa huduma mbali mbali serikalini. Nimepata taarifa kuwa uhakiki unarudiwa na hii ndio mbinu ya mkulu ya kutolipa. Walimu nao asilimia sabini hawajalipwa nao eti wanarudia uhakiki.