Mtambuzi, asante kwa habari zako za kila ijumaa.Hii ya leo imenipa kufikiria kidogo kuhusu sheria hizi za kujamiiana.Ingawa sizijui kabisa lakini napata kuzihisi kila ninaposoma habari zake na huwa napata maswali mengi ajabu halafu sijui wa kumuuliza.Kwa mfano huyu mtoto alionesha ushirikiano...
kaka Zubeda, kwa kweli hoja yako sio kweli kabisa, huo utando unaousema ni uchafu kwa maana kwamba huyo wifi yetu hajajua kujisafisha bado, nakushauri umwambie akamuulize shangazi yake au bibi yake namna mwanamke anavyotakiwa kujisafisha.
Ashadii, natamani ningekuwa kama wewe kwamba ukishafanya hujutii, kusema ukweli mie kuna kitu nilikifanya yani najuuuutaa, kila nikikumbuka natamani siku zingekuwa zinarudi nikarekebisha ile hali, mana hata siamini ilikuwaje nikaruhusu hali kama hiyo itokee yani natamani kujitia makwenzi kama...
Habarini za leo wana MMU
Jana nikiwa nimepumzika baada ya siku ndefu nilipata simu toka kwa shogangu(ameolewa na mzungu) ambaye tunatofautiana masaa matatu toka anapokaa yeye na mie.Wao wakiwa mbele masaa matatu.Shogangu huyu alinipigia simu saa nne usiku ikiwa na maana kwao ilikuwa ni saaa saba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.