AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
Asha,i am a survivor, a big survivor,upweke hauntishi.Leo nilikuwa nawambia wanangu...'you are grown ups,get out of my house.....nimekuleeeeni ,nimekusomesheni....nimekutafutieni kazi.....fine tuko wenyewe humu ndani so what?....hawajanijibu na ndo wanatoka kwenda wapi sijui maisha club? Bilicana?
hahaha.... My marriage is on the Rocks... and I was hoping B' ana maanisha nianze kujigonga kua ni mtaalam wa kuepusha u lonely in a man.... hahahaha... Basi tena ngoja tu nikambembeleze baba watoto.