Kesi ya Mary Kay LeTourneau: Mwalimu aliyembaka mwanafunzi wake wa miaka 13 na kuzaa naye…!

Mtambuzi, asante kwa habari zako za kila ijumaa.Hii ya leo imenipa kufikiria kidogo kuhusu sheria hizi za kujamiiana.Ingawa sizijui kabisa lakini napata kuzihisi kila ninaposoma habari zake na huwa napata maswali mengi ajabu halafu sijui wa kumuuliza.Kwa mfano huyu mtoto alionesha ushirikiano mkubwa na alikiri kabisa kuwa na mahusiano na mwalimu wake na alikuwa anaandika barua za mapenzi tena lundo akionesha kufurahiana kukubaliana na mahusiano hayo. na pia imeelezwa kuwa alisema anampenda mwalimu wake huyo.Swali langu ni kwamba ina maana huyo dogo yeye hana kosa kabisa japo la kumfanya afinywe makalio kwa kukubaliana na matakwa ya mwalimu hadi kumtia mimba?Sisemi mwalimu wake hana makosa lakini dogo ana makosa pia, na kama ni mkubwa kiasi cha kutia mimba basi ni mkubwa pia wa kukabiliana na matokeo yake.
 
du kisa hiki ni noma. binafsi huyu mama kaonewa. lov is sth psychological. umewahi kujiuliza ni kwa nn watu wengine wana wa dis vlema, alb, wafupi, warefu lkn wengine wanaamua hata kuwaoa? love is sth blind. u get it?
 
Mhhh Mtambuzi huyo dogo alipenda mama mtu mzima aise
Mbona mama atazeeka na kumuacha dogo akiwa na afya yake
Kweli duniani kuna mambo aise

sijui tuyaite ni mapenzi ya kweli or what jamani?kweli kwa wenzetu kweli hamnazo.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi, asante kwa habari zako za kila ijumaa.Hii ya leo imenipa kufikiria kidogo kuhusu sheria hizi za kujamiiana.Ingawa sizijui kabisa lakini napata kuzihisi kila ninaposoma habari zake na huwa napata maswali mengi ajabu halafu sijui wa kumuuliza.Kwa mfano huyu mtoto alionesha ushirikiano mkubwa na alikiri kabisa kuwa na mahusiano na mwalimu wake na alikuwa anaandika barua za mapenzi tena lundo akionesha kufurahiana kukubaliana na mahusiano hayo. na pia imeelezwa kuwa alisema anampenda mwalimu wake huyo.Swali langu ni kwamba ina maana huyo dogo yeye hana kosa kabisa japo la kumfanya afinywe makalio kwa kukubaliana na matakwa ya mwalimu hadi kumtia mimba?Sisemi mwalimu wake hana makosa lakini dogo ana makosa pia, na kama ni mkubwa kiasi cha kutia mimba basi ni mkubwa pia wa kukabiliana na matokeo yake.

nakubaliana nawe Natu...Dogo ana makosa pia kwa nini alishindwa kuwaambia wazazi wake juu ya huo uhusiano tena na jimama...Daah mapenzi haya
 
Hii kesi ni moja ya "kesi zenye mafundisho" kwa wanandoa na hata wazazi.
Mtambuzi labda niongezee kidogo.Mary Kay alifuata mkondo wa "laana" kuanzia kwa wazazi wake kwa maana hata wazazi wake nao walikua na ndoa yenye matatizo.Mary Kay aliolewa mara mbili kabla hajakutana na huyu dogo Fili na katika ndoa zote hizo alijikuta mpweke sana kwa maana waume zake mara zote walimpa uchungu moyoni na upweke.
Kwa upande wa dogo, huyu alitoka kwenye familia maskini ya kipolineshia - zile jamii za pembezoni na hata kimasomo kijana alikuwa mdhaifu sana. Mary Kay kama mwalimu alijitolea kumpa masomo ya ziada kama kumsaidia na hakumsaidia huyu kijana tu bali vijana kadhaa na walifanyia tuisheni nyumbani kwa Mary Kay.Katika ukaribu huo.... kikatokea cha kutokea na hata Mary Kay alivyopatikana na kesi ya "KUBAKA" mara kadhaa utetezi wake ( japo haukubaliki kisheria) ulikuwa ni kuwa "HAKUMUONA FILI KAMA MTOTO BALI MWANAUME".... cha ajabu zaidi hata wazazi wa Fili walikuja kurudhia ndoa ya Fili na MARY na ilikua ndoa ya mwaka kwa maana tukio liliuzwa bei mbaya kwenye media - TV na Magazeti na hivyo kuwawezesha wanandoa hao kuanza maisha mapya ya ndoa wakiwa na uchache wa kufa mtu!

Mafundisho ya kesi hii:
1. Ukiwa na matatizo ya kimahusiano waweza kufanya lisilotarajiwa na jamii
2. Kosa la wazazi linaweza kuja kuwatafuna watoto kama ilivyokuwa kwa Mary Kay kuanzia wazazi wake
3. Mapenzi ya kweli yatajidhihirisha tu hata iweje.Mary alifungwa na watu walikua wanadhani Fili akikua ataona alichemsha na hivyo kumtelekeza MARY lakini aikuwa hivyo. Fili alikua, akajitambua zaidi na kuona kweli anampenda Mary, akamsubiri hadi akatoka kifungoni wakaoana!
 
Mh kipande hii leo?
Hii ni imeniacha hoi....!

Thanks Mtambuzi

Taabu kwelikweli!
unashindwa tumwamini nani na watoto wetu!

Na haka kakijana kanahatari saaaaana!
Huyu mama ndio usipime.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ku-define ubakaji bila kuwepo element ya force?Hapa ndio sheria inapokuwa too complex na kuleta confusion.Hata hivyo hakimu alitumia busara sana na hukumu yake ilikuwa sawa kabisa.Sioni kosa la ubakaji hapa,consent ya mbakwaji ipo na hakuna element ya force kutumika.Otherwise ubakaji hapa ni artificial application of law.
 
Hii kesi ni moja ya "kesi zenye mafundisho" kwa wanandoa na hata wazazi.
Mtambuzi labda niongezee kidogo.Mary Kay alifuata mkondo wa "laana" kuanzia kwa wazazi wake kwa maana hata wazazi wake nao walikua na ndoa yenye matatizo.Mary Kay aliolewa mara mbili kabla hajakutana na huyu dogo Fili na katika ndoa zote hizo alijikuta mpweke sana kwa maana waume zake mara zote walimpa uchungu moyoni na upweke.
Kwa upande wa dogo, huyu alitoka kwenye familia maskini ya kipolineshia - zile jamii za pembezoni na hata kimasomo kijana alikuwa mdhaifu sana. Mary Kay kama mwalimu alijitolea kumpa masomo ya ziada kama kumsaidia na hakumsaidia huyu kijana tu bali vijana kadhaa na walifanyia tuisheni nyumbani kwa Mary Kay.Katika ukaribu huo.... kikatokea cha kutokea na hata Mary Kay alivyopatikana na kesi ya "KUBAKA" mara kadhaa utetezi wake ( japo haukubaliki kisheria) ulikuwa ni kuwa "HAKUMUONA FILI KAMA MTOTO BALI MWANAUME".... cha ajabu zaidi hata wazazi wa Fili walikuja kurudhia ndoa ya Fili na MARY na ilikua ndoa ya mwaka kwa maana tukio liliuzwa bei mbaya kwenye media - TV na Magazeti na hivyo kuwawezesha wanandoa hao kuanza maisha mapya ya ndoa wakiwa na uchache wa kufa mtu!

Mafundisho ya kesi hii:
1. Ukiwa na matatizo ya kimahusiano waweza kufanya lisilotarajiwa na jamii
2. Kosa la wazazi linaweza kuja kuwatafuna watoto kama ilivyokuwa kwa Mary Kay kuanzia wazazi wake
3. Mapenzi ya kweli yatajidhihirisha tu hata iweje.Mary alifungwa na watu walikua wanadhani Fili akikua ataona alichemsha na hivyo kumtelekeza MARY lakini aikuwa hivyo. Fili alikua, akajitambua zaidi na kuona kweli anampenda Mary, akamsubiri hadi akatoka kifungoni wakaoana!
Tausi Mzalendo, nakushukuru kwa kuidadavua kesi hii kwa umahiri mkubwa, umenisaidia sana kuweka upande wa pili wa shilingi, kitu ambacho binafsi sikukiona. nakiri mapungufu hayo.
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mgeni jf, ningesema huu ni uzushi! Ila nimechokaaaaaa! Thanks again babu!
 
Back
Top Bottom