Recent content by National agenda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitaungana na vyama vya upinzani kumsimamisha mgombea mmoja wa urais 2020

    Uko sahihi, huyo zitto si mtu wa kumwamini kwa haraka.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Samsung J2 Gold for sell

    Safi Safi kabisa, eboh!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ajira wafanyakazi wanahitajika Viwandani na mahotelini

    Mzee wa chato amewakalia kooni, awamu hii hawana pa kupumulia!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa Braza K, Babu mkombe na Kingwendu

    Sijawahijua anachekesha akina nami!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Harmorapa unikome

    Hata nasibu alivyoanza walikuwa hawampendi, sa hivi ndio wanaompigia vigelegele, mkuu usishangae, baadhi ya watanzania ni viumbe wa ajabu sana!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Stella Manyanya acha unafiki wa kujipendekeza

    Mbona we kila uchwao uko kifua mbele kumtetea makondakta, kumbe mliandikishana! Toa maoni kwa busara.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu: Hivi ukiwa mwalimu ni lazima uvae manguo yasiyoeleweka, oversize na malonya?

    Dada hiyo sampuli uliotoa hairuhusiwi kwa walimu, Mara kadhaa nimeshuhudia wakipangiwa mavazi ya kuvaa, wanaambiwa mavazi ya kubana hayatakiwi!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya umuhimu kufanya baada ya kustaafu ujana wako

    Sijui shule huo wanaenda kusomea ujinga kwa aina hiyo ya uandishi, so sad!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya umuhimu kufanya baada ya kustaafu ujana wako

    Degree ama diploma si lazima japo ni muhimu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wanaoishangilia serikali hii wanaishi nchi gani?

    Mtaishi kama mashetani!..by the way ngoja iwe hivyo mpaka akili za watanzania walio wengi zikae sawa! Na bado..!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Tunaomba maelekezo kwa mwenye hiyo mbegu Dodoma ili tuweze kumtembelea na kuweka order pia.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Sina furaha ya kazi na natakiwa kurudi kazini baada ya masomo yangu, je nifanyeje wana JF?

    Niliwahi pitia hali kama yako na ilinitesa kipindi chote cha masomo yangu ya masters, hatimaye nilifanya uamuzi wa kuachana na hiyo kazi bila kuuliza wala kushirikisha mtu yeyote..hatimaye nimejiajiri na nina amani tele, Fuata moyo wako ila jipange vizur pia!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Makonda kwamba hata ukimya ni jibu wengi hawajaielewa

    Duh, kweli kazi unayo!
Back
Top Bottom