Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nikiri kwamba tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani nimekua mhanga wa hali inayoendelea ya kimaisha na ustawi wa Jamii.
Nilimaliza chuo level ya PGDE nikajua mwanzoni mwa utawala huu tutalamba vituo vya kazi tuwafundishe ndugu zetu, ikawa kinyume serikali ikaanza uhakiki wa watumishi hewa lakini hadi leo hakuna kinachoeleweka. Nikapanga nianze biashara ya viroba kwa mtaji wangu wa elfu 15, kabla sijaanza kuuza vikapigwa marufuku.
Nimepata kazi chuo flani kufundisha part time lakini hadi leo sijalipwa, wanachuo wengi wameshindwa kuendelea na chuo kwa kukosa ada na chuo kimeshindwa kutulipa wakufunzi. Kitaa nadaiwa kodi kila nkichek mishe za hela naambulia hela ya kula tu. Misosi imepanda bei na inazidi kupanda bei, Leo gazeti la mwananchi imetoa habari kuhusu kupaa kwa bei ya chakula.
Sina raha ya kukaa na michepuko ghetto kutokana na kuwaza namna ya kupata hela japo kazi nafanya lakini malipo ni kwa mbinde. Bili ya maji imekuja kubwa, ni full kupasua kichwa huu ni mfano wa tu jinsi mimi nlivyokua mhanga wa utawala huu
Lakini najiuliza watanzania wanaoshangilia kila kitu kinachofanywa na serikali hii hawaoni magumu wanayopitia hadi wapate ujasiri wa kushangilia.
Watu wanasema maofisini nidhamu imerudi, nidhamu ya woga ndo naiona
mnashangilia ndege mbona wenzetu wa Ethiopia wana ndege kibao lakini nchi masikini tu wananchi wake daily tunawakamata hapa wanakimbia njaa kwao,
mambo naona ni ovyo tu sijaona kilichomnufaisha mtanzania wa kawaida tena yule wa hali ya chini kama mimi zaidi ya kuongezeka ugumu wa maisha tu.