Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Wakati naweka hilo tangazo sikuwa na access ya kuweka hizo picha. Na nimeshaziweka hizo habari za utapeli zimekujaje. Fatilia thread zangu nyingi humu nimeshauza vitu vingi Sana na wala hutaona malalamiko.
Linamo
Mimi siyo mgeni kwako wala wewe siyo mgeni kwangu, we know each other.
Kwa faida ya wageni wa jukwaa, siyo lazima kila member awe anakufahamu, unapoweka tangazo weka complete information regardless how credible you think you are.
It was just business, not personal please.
