Recent content by Nation steel

  1. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaiizaFoxy 4: Historia. Professor Rudolph T. Ware III ni Mohamed Said wa USA?

    Asipo elewa hilo somo hatoelewa tena
  2. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Chating za wadada vs chating za wakaka

    Dah! Hatari sana Mkuu.
  3. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Chating za wadada vs chating za wakaka

    Mara nyingi wadada wengi huwa hawapendani nashindwa kuelewa nikwanini.
  4. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

    Upuuzi kukuuliza kama umeolewa? Mbona swali la kawaida! Waweza jibu in short yes or no.
  5. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

    Umeolewa!?
  6. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuwa na aibu za kitoto

    Bado unahamu ya kuchepuka!????
  7. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Mafuta Ghafi: Mo Dewji afunga kiwanda, MeTL yapunguza wafanyakazi

    Tanzania tunalima mawese sawa lakini hayatoshelezi ndio maana wanaongezea toka Indonesia.
  8. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Natamani Kujiua

    Midhali umetafakari ukafikia hatua ya kuomba ushauri tayari umegundua njia unaliopita awali haikuwa sahihi, mama ni mtu muhimu sana katika muongozo wa maisha yako, rudi kwa mama mpigie magoti muombe radhi atakusameh, weka nia ya dhati kuacha pombe haina faida kwako, Mtangulize Mungu kwakila...
  9. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uharamu wa mbwa katika Uislamu na stori za vijiweni kupotosha hilo

    Mkuu waonaje kama haikuhusu ukaachana nayo? Katika vitu ulivyo jadili umefanikiwa kugundua kitu gani chenye manufaa kwa jamii? Uwe na hekma unapo jadili jambo mbele ya watu, ufahamu wako umeishia kwenye Mirinda nyeusi.
  10. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uharamu wa mbwa katika Uislamu na stori za vijiweni kupotosha hilo

    Mashaallah Inshaalla Allah akulipe kheri kwa ilmu uitoayo!
  11. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    Mkulima hawezi kunufaika na mazao yake mpaka wanasiasa waingie katika kilimo ndipo wakulima watanufaika, hii ni kwasababu hawana mtu anae waonea uchungu kwa jasho lao, viongozi na wafanyabiashara wote wanyonyaji tu.
  12. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Tarehe ambayo sitoisahau

    Pole sana Mkuu dunia imekuwa na watu makatili hawana ubinadam hawamuogopi hata aliye waumba! Hata wao hawajui hatma zao! Pole ndugu.
  13. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

    Amini usiamini jamaa hawa wana pambana sana ipo company moja walikuwa na daladala (min bus) waka ingia katika transport na hivi sasa wana vituo kibao vya mafuta 'petrol station' na bado wanaendelea transporting jamaa wanajituma sana.
  14. Nation steel

    JamiiForums Tanzania Mambo nisiyoyapenda nikiwa faragha na mwanaume

    Jaribu kwangu mkuu huta juta!
Back
Top Bottom