Tafakuri ya FaiizaFoxy 4: Historia. Professor Rudolph T. Ware III ni Mohamed Said wa USA?

Aah, kijana wetu Zurri haelewi kuwa hiyo ni "honorific title" ya Waislam wanaowacha athari "impact" ya kielimu kwenye jamii.

"Literally" ni Mwalim wa Waalim.
Soma kitabu cha Imaam Abubakar Aajuri kiitwacho "Akhalaq al Ulamaa" uwajue kina nani Ulamaa sio unaandika vitu bila marejeo.

Naona kule kwa ISIS ukaondoka mazima. Nakukumbusha tu nakudai.
 
Soma kitabu cha Imaam Abubakar Aajuri kiitwacho "Akhalaq al Ulamaa" uwajue kina Ulamaa sio unaandika vitu bila marejeo.
Allama na Ulamaa ni vitu viwili tofauti ingawa "root" ni ile ile. Ulamaa ni wingi
(Plural) akiwa mmoja anaitwa Alim (singular). Allama ni mmoja, mwenye kufundisha wote, hata wanaofundisha.
 
Allama na Ulamaa ni vitu viwili tofauti ingawa "root" ni ile ile. Ulamaa ni wingi
(Plural) akiwa mmoja anaitwa Alim (singular). Allama ni mmoja, mwenye kufundisha wote, hata wanaofundisha.
Inaonekana hata Kiswahili kinakushinda,hasa kwenye kipengele cha ufasaha. Hukupaswa kusema vitu viwili tofauti ungeandika ni umoja na wingi tu,maana ingekuwa imetosheleza.

Sasa hoja yako hapo ni ipi ? Kwamba unaniikosoa au ? Kama unanikosoa unanikosoa kwenye nini ?
 
hiyo ni "honorific title" ya Waislam wanaowacha athari "impact" ya kielimu kwenye jamii.
FaizaFoxy, kwanini ni kwa Waislam tu? nilidhani ni kwa mtu yeyote aliyeleta matokeo chanya kwenye jamii bila kujali dini, kabila au asili yake. Zaidi napenda mijadala unayoleta hapa jukwaani.
 
Inaonekana hata Kiswahili kinakushinda,hasa kwenye kipengele cha ufasaha. Hukupaswa kusema vitu viwili tofauti ungeandika ni umoja na wingi tu,maana ingekuwa imetosheleza.

Sasa hoja yako hapo ni ipi ? Kwamba unaniikosoa au ? Kama unanikosoa unanikosoa kwenye nini ?
Isome post yote hiyo utaelewa tu. Umejibu kwa kusoma mstari wa kwanza tu. Kuwa makini kijana.
 
Kuna dhana potofu huwa inapandikizwa na FaizaFoxy pamoja na Mohamed Said
wanaelezea haya mambo kama vile kuna maelekezo ndani ya Kitabu kitakatifu yanayoelekeza Waislamu kupigania uhuru wa Binaadamu wote duniani.

Kungekuwa na maelekezo yanamna hiyo katika Qurhan ingekuwa rahisi sana hoja za waislamu wapigania uhuru wa Tanganyika kueleweka, hasa kwangu.

Lakini kusema kwamba Mkwawa alishiriki kupigania uhuru wa Tanganyika kwa sababu ya uislamu wake, ama Jihadi aliyopigana dhidi ya wajerumani ilichangia katika mapambano dhidi ya wakoroni bila maelezo ya ziada sio sawa na kunachochea hisia za kidini zisizo na msingi.

Serikali iko sahihi sana inapotambua mchango wa Mkwawa katika mapambano dhidi ya wakoroni na kuacha maswala yake ya kiimani kuwa maswala binafsi.

Haya mambo yakushadadia kwamba waislamu walifanya hili na hili katika Taifa hili, au wakatoriki (ambao kimsingi sio wakristo) walifanya hili na hili katika Taifa hili walipaswa kuachiwa watoto wadogo ambao hawaelewi athari za maneno yao kwenye jamii.
 
Kumbe ni maneno ya kiislam nilifikili yanawahusu hata wasio waislam. Nawatakia mjadala mwema
 
Darasa ni chumba cha kusomeshea au kufundishia. Darsa ni kile unachosomeshwa.

Khiyana: Kwetu ambao lugha yetu mama ni Kswahili twatamka hivyo.

Hiyana = khiyana
Haini = Khain

Ningekupa darsa zaidi kuhusu chanzo cha maneno hayo lakini nakupa "homework" kidogo, nenda kachimbue kuhusu "Cain" wa kwenye Bible halafu urudi kueleza jina hilo Kihebrania linatamkwaje na uje utupe kisa cha Cain.

Huwa sikisii.

Nilikufahamisha juu huko, hii mada ni nzito kwako, naona mada umeachana nayo unatafuta pakutokea.

Narudia, huwa sikisii.
Asipo elewa hilo somo hatoelewa tena
 
Back
Top Bottom