Recent content by NASSIR HASSAN

  1. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    TANGA TECHNICAL SCHOOL chini ya Mwl A.Mwakanyamale
  2. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Supplier wa kuku wa kienyeji kutoka Singida

    NICHEKI KWA HII MKUU 0656838727. NATANGULIZA SHUKRANI MKUU
  3. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania ISIS wamchinja kijana kwa kusikiliza muziki wa Pop

    ALLAAH AWAKATE SHINGO ZAO. UISLAM UKO MBALI KABISA NA VITENDO VYAO WAOVU HAWA
  4. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    WATER DEVELOPMENT AND MANAGEMNT INSTITUTE{WDMI} Diploma in the following areas of specialization Water Supply and Sanitation Engineering Hydrology and Meteorology Water Laboratory Technology Irrigation Engineering Hydrogeology and Water Well Drilling
  5. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Radio Imani imepoteza dira ya kuwa sauti ya wanyonge na Waislam

    Ni kweli. Lengo la kuanzisha redio Imaan ni kuelimisha mambo ya dini. Lakin kwa sasa imebaki tu jina na vipind vyake ni kama redio za kawaida. Uoga umewajaa matokeo yake pamekuwa jukwaa la siasa na kusahau makusudio ya kuanzishwa kwake. Hivi sasa imekuwa idhaatu umyaan(redio ya vipofu) badala ya...
  6. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Wanaoijua Halmashauri ya Mji Korogwe (Nimehamishiwa kikazi)

    Karibu Korogwe MKUU. Mimi ndio home hapo korogwe. Huduma muhim zapatikana na ni miongon mwa wilaya zenye uchumi mkubwa mkoa wa Tanga. Karib sana Mkuu
  7. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Iko poa sana hiyo kozi. Wafanya kaz mamlaka za maji,maabara za maji. Viwanda vya vinywaji.
  8. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania NACTE yaongeza muda wa application kwa DEGREE hadi October 16;

    Namkaribisha sana chuo cha maji. Mm Niko pale
  9. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Anza kilimo cha mbogamboga. Ukianza vuna nunua na debe la nyanya,vitunguu,karot kisha tafuta vifuko kisha weka fungu la mboga,nyanya,karot ktka vifuko hvo. Inakuwa kama package flan. Uza kati ya 1200-1500. #kazi njema mkuu#
  10. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Miradi 15 kwa ajili ya wanachuo: Boom ni mtaji au mzigo?

    Respect Big Yes
  11. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza Pweza

    Shukran MKUU kwa mchango wako.
  12. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza Pweza

    Aamiyn. Shukran sasa kaka.
  13. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza Pweza

    Shukran sana kaka Zamiluni Zamiluni. Nitayafanyia kazi mawazo yako kaka
  14. NASSIR HASSAN

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza Pweza

    Shukran Mkuu
Back
Top Bottom