Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,341
- 13,021
Habari wana bodi
Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.
Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.
Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya hiyo biashara naomba ani PM ili tuweze kufanya majadiliano ya biashara.
Asante.