Wanaoijua Halmashauri ya Mji Korogwe (Nimehamishiwa kikazi)

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Wakuu heshima kwenu..

Nimepangwa kazi kwenye halmashauri tajwa hapo juu, sijawahi kabisa kufika maeneo hayo, naombeni wale wenyeji hasa wanaoifahamu Korogwe mjini wanipe changamoto zake.

Uzuri/ubaya wake, Hali ya kiuchumi/kimaisha hapo korogwe mjini, nature ya watu wa Korogwe, na vitu kama hivyo....

natanguliza shukrani za dhati...

The Magnificent.
 
Wakuu heshima kwenu..

Nimepangwa kazi kwenye halmashauri tajwa hapo juu..

sijawahi kabisa kufika maeneo hayo, naombeni wale wenyeji hasa wanaoifahamu Korogwe mjini wanipe changamoto zake...

Uzuri/ubaya wake

Hali ya kiuchumi/kimaisha hapo korogwe mjini..

Nature ya watu wa Korogwe....

na vitu kama hivyo....

natanguliza shukrani za dhati...

The Magnificent.

Korogwe ni sehemu kama nyingine za Tz.
Hofu za aina hii ni ushahidi tosha jinsi wasomo wa Nchi hii wasivyo na Confidence.

Mfumo wa elimu yetu unatufanya tuwe tegemezi zaidi na tusiojiamini.

Mazingira na nature ya watu ni vitu vinavyotakiwa kuwa asset kwa msomi na sio tatizo la kuhofia.
 
umepangwa secta ipi? nina braza wangu yupo pale kama vipi nikupe mawasiliano
 
Mji wa Korogwe upo poa. Ni mji ulio changamka. Ni kiunganishi cha kanda ya kaskazini na mashariki pia. Ni mji wenye mchanganyiko wa kabila, dini mbalimbali. Biashara kibao zina kubali pia. Ni mji unao kuwa kwa kasi kubwa. Kama umepangiwa kufanya kazi halmashauri, uwe mvumilivu wa majungu na fitna kwani ni makao ya wafidhina.
 
Korogwe ni sehemu kama nyingine za Tz.Hofu za aina hii ni ushahidi tosha jinsi wasomo wa Nchi hii wasivyo na Confidence.Mfumo wa elimu yetu unatufanya tuwe tegemezi zaidi na tusiojiamini.Mazingira na nature ya watu ni vitu vinavyotakiwa kuwa asset kwa msomi na sio tatizo la kuhofia.
Mkuu,nani kakwambia Ana hofu?nimesema Mimi sijawahi kufika huko...hapa nilichohitaji Ni just overview Tu...ili nijue najipangaje kwenda kuishi kule...hizo ulizoongea hapo Ni blah blah Tu...hujanisaidia lolote
 
Mji wa Korogwe upo poa. Ni mji ulio changamka. Ni kiunganishi cha kanda ya kaskazini na mashariki pia. Ni mji wenye mchanganyiko wa kabila, dini mbalimbali. Biashara kibao zina kubali pia. Ni mji unao kuwa kwa kasi kubwa. Kama umepangiwa kufanya kazi halmashauri, uwe mvumilivu wa majungu na fitna kwani ni makao ya wafidhina.
Duh....
 
halmashauri ya mji korogwe ni nzuri sana, mkurugenz wa pale ni mtu mmoja mzuri sana mzee lewis kalinjuna. uzuri mmoja pia unaenda wkt aliekua mkuu wa wilaya mrisho gambo keshaondolewa pale..alikua mshenz flan na msumbufu. Kwa ujumla maisha ya korogwe ni ya kawaida kabisa, c ya gharama na hata house rents ni reasonable!! ungesema umepangwa kitengo gan ningekujuza pia kitengo kimekaaje!!

Kwa upande mwingne dili dili kwa pale ofisin cyo rahis hivyo kwan pana majungu kias flan na wengi wa wafanyakazi hawana exposure yakutosha!! Karibu mkuu
 
we unataka kujua kor ikoje tuambie kwanza wewe upoje pengine unaweza kuja kua sababu ya kuharibu mji wetu
 
Mkuu,nani kakwambia Ana hofu?nimesema Mimi sijawahi kufika huko...hapa nilichohitaji Ni just overview Tu...ili nijue najipangaje kwenda kuishi kule...hizo ulizoongea hapo Ni blah blah Tu...hujanisaidia lolote

Usiwe muoga mtumishi wa umma ni kama mwanajeshi popote pale anaenda kupigana vita ,mwanajeshi huwa achagui,sasa korogwe tu hapo mjini 5 hrs to dar es salaam 5 hrs to arusha unakuwa muoga je ungepelekwa tandahimba,namtumbo,nanyumbu,mkalama,kakonko au sikonge ungesemaje?
 
Wakuu heshima kwenu..

Nimepangwa kazi kwenye halmashauri tajwa hapo juu, sijawahi kabisa kufika maeneo hayo, naombeni wale wenyeji hasa wanaoifahamu Korogwe mjini wanipe changamoto zake.

Uzuri/ubaya wake, Hali ya kiuchumi/kimaisha hapo korogwe mjini, nature ya watu wa Korogwe, na vitu kama hivyo....

natanguliza shukrani za dhati...

The Magnificent.
Karibu Korogwe MKUU. Mimi ndio home hapo korogwe. Huduma muhim zapatikana na ni miongon mwa wilaya zenye uchumi mkubwa mkoa wa Tanga.
Karib sana Mkuu
 
Wakuu heshima kwenu..

Nimepangwa kazi kwenye halmashauri tajwa hapo juu, sijawahi kabisa kufika maeneo hayo, naombeni wale wenyeji hasa wanaoifahamu Korogwe mjini wanipe changamoto zake.

Uzuri/ubaya wake, Hali ya kiuchumi/kimaisha hapo korogwe mjini, nature ya watu wa Korogwe, na vitu kama hivyo....

natanguliza shukrani za dhati...

The Magnificent.

Da mkuu umenikumbusha mbali nikaa karibu miaka miwili pale nipazuri watu wakule niwakalimu ingawa si wote hadi Leo napatamani lakini kwamaofisini sijui kwakweli
 
halmashauri ya mji korogwe ni nzuri sana, mkurugenz wa pale ni mtu mmoja mzuri sana mzee lewis kalinjuna. uzuri mmoja pia unaenda wkt aliekua mkuu wa wilaya mrisho gambo keshaondolewa pale..alikua mshenz flan na msumbufu. Kwa ujumla maisha ya korogwe ni ya kawaida kabisa, c ya gharama na hata house rents ni reasonable!! ungesema umepangwa kitengo gan ningekujuza pia kitengo kimekaaje!!

Kwa upande mwingne dili dili kwa pale ofisin cyo rahis hivyo kwan pana majungu kias flan na wengi wa wafanyakazi hawana exposure yakutosha!! Karibu mkuu

NimekuPM mkuu...

thanks,
 
Nilisikia huyu kalinjuna amehamishwa?
 
Back
Top Bottom