RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
Inaweza ikawa na maana ya kuwa ni mmoja kati ya waliochaguliwa. Lakini subiria selection
Mi Mwenyewe sioni Sehemu ya Kuedit
Inaweza ikawa na maana ya kuwa ni mmoja kati ya waliochaguliwa. Lakini subiria selection
mm nineandikiwa futa machaguo(reset choices) msaada hapo wadau
we umesma OD wap? kama nakufaham
Waungwana hakuna aliyewasiliana na Nacte juu ya suala hili maana kutwa nzima Leo nmewatafuta simu yao haipokelewi mara haipatikan!!?
Jamani hyo reset choice itumieni kwa makini kwani udahili bado unaendelea. Haina maana kuwa umekosa chuo
Sililizeni wakuu ipo ivi,ukiona umeandikiwa reset kwa red unatakiwa ufanye machaguo tena sababu nacte washafanya selection japo awajayatoa wanataka watoe batch one na two kwa pamoja,waliokosa wameambiawa reset ivyo ukiacha kureset unaweza ukakaa benchi mwaka mzima,tumieni Muda huu kureset wakuu japo vyuo vitapungua na faculty nzuri zitakua full,izi habari Ni za ukweli wala sio za kutunga,Kila La kheri wakuu
Namkaribisha sana chuo cha maji. Mm Niko paleJamani selection zishatoka kwenye vyuo husika mi mdogo wangu kapangiwa chuo cha maji katokea diploma.
ushaur wako ni mzur mkuu japo una ukakasi,kwa kila mtu ktk profile yake pale chni baada ya kozi alizochakugua kuna option tatu ikiwemo kuset,na kureset imewekewa colour nyekundu ikimaanisha sehem hyo utaibonyeza tu pale ambapo utaona uchaguz wa kozi Au Chuo Hukufanya Sahih,na Hvyo Utaweza Kui2mia.Lakin Kama Ulifanya Uchaguz Ambao Ni Sahihi,tafadhar Bora Uache Kama Ulivyo,si Vyema Usijifanye Fundi.Na Uzuri Endapo Kama Profile Yako Haina Shida Nacte Hukupa Taarifa Kukupongeza Mara Tu Unapo Sign In Kwenye Profile Yako,
Siyo kila mtu. Kwenye profile yangu hakuna reset wala button nyekundu.