Recent content by Nascoba

  1. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Iphone 6 gb 64 Mwenye nayo katika hali nzuri njoo pm Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Sawa mkuu nimekuelewa. Kwa vile nipo mkoani nitaangalia namna gani niweze kuileta. Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu nina Iphone SE,karibuni nilibadili battery Lakini Tangu nimebadili inapata joto kali sana hasa nikiwasha data. Nini sababu ya hilo tatizo na endapo linarekebishika bei yake kiasi gani? Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. N

    Rushwa Elimu ya msingi yawagharimu watoto wasio na hatua Wilayani Tunduru

    Kama elimu yetu inaendeshwa katika Mazingira hayo hilo ni tatizo Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji IPhone 8 iliyo katika hali Nzuri. Isiwe chini ya gb 64. Budget YANGU ni 600 Njoo pm tuyajenge Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. N

    Ipi ni bora kati ya Galaxy S6Edge+ na i Phone S6 Plain

    Kama ulimaanisha iPhone 6s ni nzuri chukua inapata update kama kawaida. Lakini kama ulimaanisha IPhone 6 hiyo achana nayo haipati tena update. Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. N

    Msimu wa korosho umewadia, mizani na mawe feki katika vyama vya msingi kwa ajili ya kuwaibia wakulima bado ni tatizo kubwa

    Naomba sana ujumbe huu uwafikie wahusika. Miongoni mwa njia wanazotumia viongozi wa vyama vya msingi kujitajirisha kwa kuwaibia wakulima ni kuwa na mawe ya mzani yanayoiba. Tatizo hili ni kubwa kuliko inavyodhaniwa lakini halijaguswa wala kuzungumzwa. Na mwaka huu hali imekuwa mbaya zaidi...
  8. N

    Matokeo ya mtihani wa Darasa la saba aliofanya mwanangu,yana alama ya 'W'. Naomba kujua tafsiri yake

    Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu. Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?
  9. N

    Naomba sana Rais Magufuli asiangalie chaneli ya Tanzania Safari

    Nat Geo Wild watu hawajawekeza maneno. Wamewekeza hasa.usitake kufananisha na mataputapu
  10. N

    AzamTV mnakera acheni ushamba sana...

    Kama mmeamua kutengeneza app kwa ajili ya chanel zenu vipi tena inawapata kazi ya kuzihamisha kila mara Yaani kukiwa na football mechi mnahamisha chanel ili eti watu wakaangalie kupitia ving’amuzi,Yaani Yaani bado hamjui kwamba watu wako karibu na simu zao kuliko ving’amuzi ambavyo wameviacha...
  11. N

    Nahitaji Bajaj Used,Lakini iwe in good condition.

    Wakuu mwenye Bajaj iliyotumika na ambayo bado iko katika hali nzuri njoo tufanye Biashara 0784356521
  12. N

    SIMBA WAMEJIKWAMISHA WENYEWE

    Halafu simba ikae na kilomoni kama Nani? Kwan kilomoni simba ameikodi?
  13. N

    Dewji hii ndo fursa, achana na Simba ya Kilomoni anzisha MO Simba FC , mashabiki tupo

    Bahati mbaya kwao viongozi wa sasa simba wanajitambua
  14. N

    Dewji hii ndo fursa, achana na Simba ya Kilomoni anzisha MO Simba FC , mashabiki tupo

    Tatizo sio kilomoni,tatizo ni wana simba wenyewe. Mtu kama kilomoni ambae hata umkabidhi amnunulie chai kagere hawezi anadiriki kuivuruga simba na Bado anapewa airtime? Mtu mjinga kabisa...na wazee wenzake ambao hata kujinunulia shati hawawezi eti wanaopigania simba? Pumbavu sana. Na bado eti...
Back
Top Bottom