*W ni Withhold/withheld yaani yamezuiliwa.Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu.
Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?
Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu.