Recent content by Naren

  1. Naren

    JamiiForums Tanzania Jifunze visa na mbinu za kukabiliana na wezi wa majumbani

    Mitego mingine siunajitengenezea mazingira ya kuwa mhanga mmojawapo! IED kila kona!
  2. Naren

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, shushushu (mwanausalama) akihitilafiana na raia wa kawaida hawezi tumia mbinu za kazi yake kumshughulikia?

    H Hiyo ni kweli! Unakuta maamuzi yake kichwani ni ya aina mbili akupige akusulubishe au akuue, sasa akiona ugomvi wenyewe sio wa kumpa haki ya kukufanyia kati ya hayo mawili inabidi ajifanye fala tu. Ila hao kama ulivyosema "hatari yao ni mbaya kuliko...."
  3. Naren

    JamiiForums Tanzania Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

    Kweli!
  4. Naren

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Na hao ambao hawakuonekana ni hatari by nature.
  5. Naren

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufanya Mambo Magumu Kuwa Rahisi

    Picha tu imetosha kunifunza, hongera kwa uchaguzi wa picha nzuri!
  6. Naren

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Upo sahihi, nami naoana wanaunga stori ili kupata hitimisho la kile wanachotaka
  7. Naren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

    Kweli kabisa.
  8. Naren

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    It's always "GOOD" with you!
  9. Naren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Pole sana!
  10. Naren

    JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu vya muandishi E.Chahali

    Anavitabu pekuapekua mtandaoni utaona vitabu vyake.
  11. Naren

    JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu vya muandishi E.Chahali

    Za mda huu! Wadau natafuta nakala za vitabu(hard copy) vya E.Chahali kwa hapa Dar es salaam. Either ni mmiliki wa bookstore - - waweza nielekeza wapi bookstore yako ilipo nikaja kuvinunua, au kama unafahamu wapi vinapatikana waweza nirefer.
  12. Naren

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kakunda: Binti hatoolewa bila 'leaving certificate' ya form four

    Hakuna lolote la maana wanaloswadikisha. Hakuna chochote cha maana nnachokisikia siku hizi.
  13. Naren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya kuzima data ni ushamba

    Mtoa wazo hajaangalia hilo.
  14. Naren

    JamiiForums Tanzania Pambano la watani wa jadi; huyu ndiye aliyebebeshwa ndumba!

    Kweli kabisa
  15. Naren

    JamiiForums Tanzania Kwa watu wa Dar jiangalie mtakula kuku vibudu wiki hii

    Sawasawa.ahsante kwa.taarifa.
Back
Top Bottom