Mimi ni Chizi JF, siwezi ku abstain ku login hapa hata iweje, sometime nikiwa na assignment very serious huwa nina wa frustrate kina Invisible mpaka wananipiga ban kwa Siku kadhaa ili nifanye issue zangu maana otherwise kila Muda nitakuwa nachungulia