Are spies made or born?

Saikolojia ni pana sana mkuu.
Jua kwamba,kila mtu au akili ya mtu ni kifaa,kibaweza kutumika vyovyote.

Iwe kwanzia una umri wa miaka sita au ishirini kuendelea.

UNAFIKIRI NINI LENGO LA SCOUT?
UNAFIKIRI NINI MALENGO YA MAFUNZO YA WATOTO YA HALAIKI?
okay sawa
 
Wanakuzwa wale kwa trainng toka wadg uwez chukua spy wa miaka 4 au 3 ni kwanzia miez na mwaka mmoja...pia huingia mkataba na familia ya huyo mtoto.
 
Mi kinachonishangazaga kuhusu watu wa aina hii, jinsi wanavyojua kufanya kazi yao, ni pale mtu anapojifanya kichaa, ombaomba, shoeshiner, mvuta bhangi n.k ile kupata information fulani, unakuta mtu katokea Mwanza anakuja kujifanya kichaa Dar, hakuna anayemjua, anaifanya kazi yake saaafi, akimaliza anarudi alipokuwa(ofisini Mwanza), kuna mtu alishakwepwa na mtu posta ambaye alishawahi kuwa kama kichaa mtaani kwao kwa muda then akatoweka ghafla, yaani watu walishangaa mtaa ghafla umepata kichaa wasiyemjua, wakawa wanampampa vyakula vyakula,muda mfupi baadae ghafla akatoweka, siku hiyoaliyomuona posta alitaka amfuate amsalimie, akakwepwa, alimshangaa cause alikuwa amepiga nguo smart za ofisi, akajua yule hakuwa kichaa kweli kuna mtu alikuja kumfuatilia mtaani kwao, alipowaambia wenzie mtaani hawakuamini, eti yule kichaa kamkuta that smart mjini wakati alikuwa anavaa nguo chafuchafu na kulala nje mtaani kwao
Mkuu umesahau kitu kimoja, ukweli ni kwamba jalala unalolidharau ndo limebeba siri ya maisha yako, my slogan nionyeshe jalala lako nijue level ya maisha yako.
Miaka hiyo tulikua tunatafuta wahujumu uchumi ili kuwajua ilikuwa lazima tuchungulie majalala kwanza ndo maana miaka hiyo wimbi la vichaa liliongezeka.
 
Katika uasilia, angalia mfano wa wadudu wadogo mfano sisimizi na jamii yake, nyuki nk.

Utajifunza kuwa askari huzaliwa.

Ukiwa na bahati ukaonwa na kutimiza vigezo vingine utapatiwa mafunzo...

Tunao 'askari' wengi mitaani lakini hawakubahatika kuonwa au kupata mafunzo ama vigezo havikukamilika lakini ikiwaona tu utahisi wangefaa kazi ya uaskari...

Kwa 'spies' vivyo hivyo lakini lazima uwe 'flexible' na 'little more intelligent'. Vyoye hivi ni kwa kuzaliwa, mafunzo huwaongezea uweledi...

Kujibu swali, '...spies are born and made...'

However: Katika nchi corrupt kuna uwezekano wa kukuta spies wasiostahili, yaani ambao IQ zao zipo chini sana...
There you're...wapo ambao wako ndani ya system ambao they were just made but they lack some qualities kwa kuwa " corruption " ilipenya.
Wapo ambao they were born and needed to be seen and vetted for the aim of joining the system but they were not seen kwa kuwa wahusika walikuwa blind minded; hawa wako nje but they qualify to be there.
 
dah!

mara nyingi kunakuwepo na viashiria ambavyo vinaweza onekana tangu udogoni.
viashiria hivi vinaweza kuwa kutambuliwa na mtu wa familia ambaye tayari yuko kwenye system. ikitokea hivi na huyo mtu wa familia akaona utafaa basi anaweza akawa "anakulea" na kukujenga ili baadae iwe rahisi kukushawishi kuingia huko.

aidha viashiria hivi vinaweza kuonekana katika mfumo wa makuzi na elimu, mfano mwalimu wako, jirani yako, ndugu wa rafiki yako n.k.

pia wapo wataalamu kutoka ofisi kuu ambao nao wanajukumu la kutambua vipaji (potential candidates).

baada ya "kuonekana" unafaa inakuja ushawishi na kukujengea mazingira ya utakapo fuatwa na kuombwa kujiunga usisite kukubali. miaka ya awali chuo kikuu na jkt vilikuwa viwanja vya mawindo kwa watu wa "taaluma". mkufunzi kutoka makao makuu alikuwa na "warsha" ya siku moja na wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuwaelezea umuhimu wa usalama hii ilikuwa ni mbinu ya kuwatayarisha wanafunzi kifikra ili wanapofuatwa wasisite kujiunga (ikumbukwe wakati huo chuo kikuu kilikuwa kimoja tu, hivyo hapo ndio palikuwa na jumuiko la wasomi wetu). idm mzumbe pia ulikuwa uwanja wa ajira(ingawa wakati huo haikuwa chuo kikuu)

kwa maneno mengine mtu anazaliwa na viashiria lakini viashiria hivyo lazima viboreshwe. usisahau kila sehemu hawa watu wapo kuanzia walimu, madaktari, wahandisi, wachumi, wahasibu, viongozi wa dini, wanasiasa nk. hata watu wasio na taaluma mahususi pia wapo. japokuwa kama alivyosema mchangiaji moja hapo juu sio kila mwenye viashiria ameajiriwa au ameonwa. wengine wanaviashiria husika lakini mazingira ya malezi/makuzi yao yamefanya wawe na viashiria vingine vyenye nguvu zaidi hivyo kuwa disqualify.

naamini nimekusaidia kidogo
Nyongeza: kwa maeneo ya shule hasa sekondari,wakuu wa shule huwa na role kubwa ya kuanza kuwaona na kupeleka mapendekezo.
 
Lazima uwe na chembe chembe za kijasusi tangia mdogo then baadae zinakuwa developed kwa mafundisho maalumu ya kazi husika. Ila kwa nchi yetu miaka is karibuni imekuwa tofauti na kipindi cha Nyerere. Now days kujuana na pia watoto wa high government officials ndo wanachukuliwa hata kama waredi wa kiintelijensia hawana.
From this point is where maafisa wengi wa serikali wanashiriki katika mambo ya kifisadi, embezzlements na corruption bila kujulikana au hatua stahiki kuchukiliwa na serikali.
Yes... There you're... Kuna mengi yamebadilika sana.
 
There you're...wapo ambao wako ndani ya system ambao they were just made but they lack some qualities kwa kuwa " corruption " ilipenya.
Wapo ambao they were born and needed to be seen and vetted for the aim of joining the system but they were not seen kwa kuwa wahusika walikuwa blind minded; hawa wako nje but they qualify to be there.
Na hao ambao hawakuonekana ni hatari by nature.
 
Back
Top Bottom