Recent content by NARE

  1. N

    Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Juma Idd apoteza wadhifa wake

    Mudy mnafiki mkubwa ww kura gan alikuibie takataka wewe?pamoja na mapungufu yake aliibadilisha same sana
  2. N

    Mwanafunzi chuo cha uhasibu Arusha auwawa

    wakati nasoma hapa tulishavamiwa na vibaka kama 100 hv maeneo ya kwa tondi wakachukua laptop na pesa.....ila tulifanya msako na kumchoma kibaka mmoja maeneo kambini toka hapo hali ilitulia ila hao vibaka ni noma nadhan wanashirikiana na polisi.....
  3. N

    Huu ni ugonjwa au?

    Jamani mtoto wangu ana mwezi mmoja sasa ila anashtuka sana akilala hata akiwa macho anashtukashtuka na kuanza kulia je atakuwa anaumwa?
  4. N

    Nahitaji gari

    Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
  5. N

    Kazi ya afisa biashara

    Wakuu naomba kujua majukumu ya afisa biashara,vp ni kazi inalipa maana kuna jamaa ameniambia siku hz ni kama hawana kazi za kufanya maafisa biashara na maafisa ushirika walioko halmashauri niamben jaman
  6. N

    Mkurugenzi jiji la Mbeya bw. Iddi na madiwan vyama mchanganyiko

    Mkurugenzi Iddy jembe la kazi wakt yuko wilaya ya Same aliibadilisha sana sana ila tatizo lake vimwana anapenda sana wanawake sio wake za watu sio vibint kwake twende hilo ndo tatizo lake ila ni mchapakazi na kazi anajua.....
  7. N

    Inawezekana jamani?

    jaman naomba kuuliza inawezekana kutembea na msichana mwenye HIV na usipate maambukizi kwa mshindo mmoja bila kuchubuka?
  8. N

    Suzuki samrai for sale

    punguza kidogo nina m 4 kaka...
  9. N

    Selection ya masters mzumbe

    nenda posta kacheki kama umefanikiwa watakuwa wameshakutumia admission...mi nimepata admission toka mwezi wa saba....
  10. N

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    masikini kafumu ameacha kazi yake kakimbilia hela za fastafasta sasa kakosa yote......
  11. N

    Msaada tutani

    Jamani naombeni ushauri kuhusu hii ki2 yangu imepinda kama ndizi hv wakt imesimama sasa sijui naweza kwenda kufanya opereshen niinyoshe.......maana kwakweli mimi sifurahish jinsi ilivyopinda.............
  12. N

    Kamanda mbowe,nassari,lema,heche na mama kaboyoka ndani ya same..

    more update na picha later makamanda
  13. N

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Pole nadhan ww utakuwa ni mtoto wa mmoja wa Dc alitemwa ndo hivyo maisha yanabadilika masikini weee kama ulikuwa unategemea vya baba kula kulala msosi wa draft.....
  14. N

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Mkuu huyu alipewa cheo ndani ya chama....
Back
Top Bottom