Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,884
Usipate shida. PM M-pesa ifanye kazi.
sasa hivi nakutumia....ni BFGoodrich All Terrain ndio nataka niweke.....
Usipate shida. PM M-pesa ifanye kazi.
sasa hivi nakutumia....ni BFGoodrich All Terrain ndio nataka niweke.....
R.I.P MwanafunziMwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha jina halikuwezakupatikana mara moja,mwanafunzi huyo alikuwa anatoka chuoni usiku anaelekea nyumbani kwake alikutana na vibaka maeneo ya SDA katika msuguano waka mchoma visu vya shingo.
Hao watu si tulipokua mwaka wa kwanza walikua kama wametupangia mda wa kusoma eti saa1 usku hulusiwi kupita ni wanakupa kipigo na kukuibia au kuuua.,
basi tukaingia mtaani tukatembeza vichapo kwa vijana wanaozunguka chuo basi ikawa ndo tumewamaliza,. Sasa nafikiri wamerudi tena.
Dawa hapo si kuandamana ni kugawa kichapo maeneo ya kambini,tanesco,lemara,kikokwaru,dabo b
Huu ubabe wa CHADEMA unantiaga wasiwasi. Is FORCE the only approach they know?Lema anamsubiri Mkuu wa Chuo na anasema asipotokeza anawamrisha wanafunzi wakamchukue aliko!!!
Sina shaka mkuu! Ila siku hizi mitaa ya kambini na kikwakwaru haina ujinga huo,siku hizi vibaka karibu wote wa maeneo hayo wamehamia Lemara,wana ngome yao hapo wanapaita chechnia,mchana wanacheza kamari hapo na kunywa viroba,usiku wanateremkia njia ya kwa osama na kwenda kuwinda maeneo ya karibu na chuo,na polisi wanaelewa kila kitu ila labda wamewapa kibali cha ujasiriamali wa mtindo huo,,RIp our auditor
Mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha jina halikuwezakupatikana mara moja,mwanafunzi huyo alikuwa anatoka chuoni usiku anaelekea nyumbani kwake alikutana na vibaka maeneo ya SDA katika msuguano waka mchoma visu vya shingo.
Acha haraka zako. Zima Starlet kwanza ucheki maji kwenye rejeta. Utachemsha injini!
Lema anamsubiri Mkuu wa Chuo na anasema asipotokeza anawamrisha wanafunzi wakamchukue aliko!!!
ikawaje.........?