Recent content by nard

  1. N

    Kwa wale wakali wa Algebra, Solve this

    Nimekubali ila nadhani njia yangu ingeleta shida kubwa sana kwa msahishaji. Kikubwa yanatakiwa kutungwa maswali ambayo hayawezi kuleta mkanganyiko, mfano maswali ya variations shule ya msingi yanatungwa kwa namna ambayo mwanafunzi akitumia njia yenye umbo kama "W" anapata jibu kitu ambacho ni...
  2. N

    Kwa wale wakali wa Algebra, Solve this

    Hayo yote hayahitajiki katika hili swali, yangehitajika yangewekwa. Je unajua hili ni swali la o level siyo advance?.
  3. N

    Kwa wale wakali wa Algebra, Solve this

    GCF of 30, 45 and 90 = 15 The tank will be filled after 15 minutes
  4. N

    Huu ndio Mchezo Mchafu niliochezewa Deo Kisandu mwaka 2013 lakini mwaka huu 2018 nitaoa Mrembo..

    Na huyu ungemsamehe pia na kuendelea kuishi naye kama kawaida. Deo akili zako unazijua mwenyewe.
  5. N

    Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

    NASHAURI kama alichokisema Lissu kuhusu mazingira ya yeye kishambuliwa ni kweli, basi wakati serikali ikisubiri apone polisi waanze upelelezi kwa kupitia alichokisema. Kwanza kuwauliza wenye mamlaka ya kuwapanga walinzi kwenye nyumba hizo " kwa nini siku hiyo hakukuwa na walinzi?" Pili ni nani...
  6. N

    TANGA: Mwenyekiti wa CCM kata ya Kwamgwe aagiza watumishi wote wa Umma kuwa na kadi za CCM

    Nadhani viogozi wanaotakiwa ni wale wanaotekeleza majukumu yao kikamilifu bila kuangalia sanduku la kura la awamu nyingine. Kama wewe ni mwanasiasa na unatengeneza mazingira ya kushinda uchaguzi mwingine basi wewe hufai kuwa kiongozi! JITATHIMINI
  7. N

    TANGA: Mwenyekiti wa CCM kata ya Kwamgwe aagiza watumishi wote wa Umma kuwa na kadi za CCM

    Nawaza, tukiwa na wanachama 50 basi tuna kura zaidi ya 50! Wapiga kura wote wakiwa wanachama wetu basi hakuna kula ya upinzani hata moja!! Kura itakuwa ni siri yao lakini matokeo yatakuwa majuto yao kwa nini walikubali kuwa wanachama halali!!! Nawaza, nawaza nasisitiza NAWAZA!!!!
  8. N

    Kuna vinasaba (genes) vya Ushoga--Utafiti wa kisayansi wathibitisha

    Ninashindwa kukuelewa wewe ni nani maana kila ayepost kinyume na matarajio yako unamuita mwanasiasa! Mwanasayansi kwako ni huyo anayeshukuru kwa huo utafiti kufanyika?
  9. N

    Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

    Hii ni nguvu ya msiba kwa jirani kama kaka yako angekuwa amepoteza maisha usingeandika hivyo. Siamini kama Watanzania tumefikia hatua ya kuwatukana wafiwa badala ya kuwapa pole!
  10. N

    TAKUKURU: Nassari na wenzie hawakuleta Ushahidi bali Taarifa, tunampa onyo kuongelea taarifa za uchunguzi hadharani

    ........ So taarifa ikipokewa na PCCB na ikichunguzwa na kuwa kweli na wakajiridhisha, hapo wataiita ni USHAHIDI NA WATAIPELEKA MAHAKAMANI...!! ......... "Ushahidi ni baada ya kufanya upelelezi" Sasa mbona kuna kesi nyingi tu mahakamani lakini kila siku tunasikia upelelezi haujakamilika?
  11. N

    Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

    Yanga kuna timu imeshinda ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Baada ya kukuza hii picha kwa mujibu wa macho yangu 1. mapipa haya yana mifuniko ya rangi ya blue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 2. Maji yanamwagika pembeni ya pipa namba 0, kwa hiyo mapipa haya hayawezi kujaa kamwe! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Hapa inategemea kiwango cha maji yanayoingia na kutoka! Mfano kama maji yanayoingia pipa namba 0 ni mengi zaidi kuliko yanayoingia pipa namba 1 basi namba 0 litajaa mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kushuka kwa Bei ya Mafuta nchini

    Kama ni kweli wanatakiwa wajitathimini upya, kama so kweli dhambi ya uongo haitakuacha salama
Back
Top Bottom