DDunia ina mizunguko miwili, kujizungusha kwenye mhimili wake(rotation) ambapo uleta mchana na usiku, na kuzunguka jua(revolution) ambapo huleta majira ya kiangazi, masika etc.
Sasa wewe unauliza ikisimama mzunguko upi kati ya hiyo?
Nilifanya kazi Botswana 2014 for six month, it is very cool country, inasemekana ni nchi ya pili kwa amani barani afrika baada ya moritious. Ila uende na mkeo, manake kule ratio ya wanawake na wanaume ni 8:1, na ni warembo kwelikweli.
Baada ya kufatilia mijadala na kampeni hatimaye nimefanya maamuzi. Nimeamua kumsapoti Magufuli ila kura nitampa Lowassa.Why?CHADEMA na CCM vina matatizo yanayofanana:
1. Vyote vimezungukwa na mafisadi ambao ndio chanzo cha umasikini wetu:
2. Vina watu wanaojiona kua na hati miliki ya...
Kwa wale wenye uelewa wa mambo ya marketing kuna kitu kinaitwa "brand". Mojawapo ya sababu za mafanikio ya brand yoyote ni uzuri wa brand name na brand appearence/popularity.
Mwaka 2005 na 2010, rais kikwete alipata kura nyingi za ziada kwa sababu ya muonekano wake na jina lake. Muonekano wake...
Wadau, nawakilisha kundi kubwa la wananchi wasio na mlengo wowote wa kisiasa, ila tunao hitaji serikali madhubuti itakayoitoa nchi yetu kwenye lindi la umasikini. Niko njiapanda, nataka mabadiliko, kwani mfumo uliopo umedumu kwa miaka mingi bila ya kua na significant development. Nawakubali...
It is always a matter of time kwa ukweli kujitenga na uongo. Muhongo is the best candidate, na naamini CC ya ccm is wise enough to see that. Kila lakheli prof.
Nazani nilikua wa kwanza kupendekeza hapa with title; "Napendekeza Muhongo Uraisi Tz", Ila kwa kua wakati ule wachangiaji wengi walileweshwa na sakata la Escro, few could see me through. Naungana na mtoa mada mia kwa mia, kama ukijivua ushabiki na mihemko ya kimakundi utaweza ona mbali kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.