Siku zimefika, lakini kuna maswal ya kujiuliza khusu nchi yetu, hali za maisha na uchumi haswa huduma muhimu za jamii kama maji umeme na elimu. Uchumi nao tuufikirie. CCM wamefanya mengi na wamefikia kitu tunachokiita diminishing return, ndio maana hospital zimebak zile zile bila kujal idad ya watu ilivyoongezeka. Pia wameshindwa kutupa utawala bora kupitia katba mpya, rasilimali zetu zimevunwa kwa wingi hali maendeleo yamekua duni .CCM imejitahidi lakini kwa sasa tunahitaji watendaji wapya kwa mfumo mpya watakaotupa utofauti. HIVYO BASI WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI,KABILA,ITIKADI TUCHAGUE UKAWA TUPATE UTENDAJI TOFAUTI, PASIPO UTOFAUTI WA KUFANYA MAMBO MTU HUWEZI KUFANIKIWA