Nahitaji kujua hali ya maisha ya Namibia na Botswana

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Kwa mtanzania anayeishi Namibia au Botwana ningependa kujua vipi maisha uko, je kuna tofauti na Tanzania vipi kazi upatikanaji wake na professional gani ambayo unaweza pata kazi kwa urahisi?

Shukran
 
  1. Nilifanya kazi Botswana 2014 for six month, it is very cool country, inasemekana ni nchi ya pili kwa amani barani afrika baada ya moritious. Ila uende na mkeo, manake kule ratio ya wanawake na wanaume ni 8:1, na ni warembo kwelikweli.
Du nime kusoma vizur Mkuu
 
  1. Nilifanya kazi Botswana 2014 for six month, it is very cool country, inasemekana ni nchi ya pili kwa amani barani afrika baada ya moritious. Ila uende na mkeo, manake kule ratio ya wanawake na wanaume ni 8:1, na ni warembo kwelikweli.

Eti? au macho yangu
 
ratio ya 8:1 nadhani hapa ulikua unatania tu, maana ni kitu ambacho hakiwezekani
 
  1. Nilifanya kazi Botswana 2014 for six month, it is very cool country, inasemekana ni nchi ya pili kwa amani barani afrika baada ya moritious. Ila uende na mkeo, manake kule ratio ya wanawake na wanaume ni 8:1, na ni warembo kwelikweli.
Mkuu mwona mbali
Sijaelewa unachomaanisha
So ni number ya wanawake ndo imenipa exceed namba ya wanaume kwa ratio hio?
 
Back
Top Bottom