Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

It is always a matter of time kwa ukweli kujitenga na uongo. Muhongo is the best candidate, na naamini CC ya ccm is wise enough to see that. Kila lakheli prof.
 
Watanzania watu wa ajabu sana,c ni nyie ndo mlikua mnalia kila cku huyu jamaa ajiuzulu kwenye skendo ya ESCROW!

Hakuna mtanzania wa kawaida aliemkataa Muhongo ni watz waliokuwa nyuma ya Mengi ndio waliomkataa.
 
Yaani aibu imewashika hadi kwa sasa wanapata woga. Walidhani hatopata wadhamini sasa wanaambiwa watu wanampigania kumdhamini BILA PESA, wao wajiandae kulipa kodi stahiki za serikali katika AWAMU YA TANO.

Najua saivi wanajipanga waje na mbinu ipi dhidi yake na sijui watakuja na ipi kwa sababu tumeshaamka watanzania na tunazidi kuwaamsha wengine wajue ukweli ni upi. Kikubwa alichonifurahisha Prof Muhongo alisema wazi kwenye speech yake kuwa akifanikiwa kwenye serikali yake Mapato ya serikali,mashirika yake na wafanyabiashara yatawekwa wazi. Nafikiri huu ulikuwa ni wakati wa wao kujiandaa kisaikolojia tu kwa sababu sijui watakwepaje tena kodi.
 
Nikadhani kamfikia lowasa Robo hivi dahh mtoa muda una mihemko please punguza
 
Last edited by a moderator:
Tusaidie ndugu yangu unayejua aliruhusuje escrow kupita?
Kwa taarifa ipi ya uchunguzi au maadili uliyokuwa nayo labda sie hatuna? CAG AU PCCB AU TUME YA MAADILI???
Usikimbie tu kama wenzako walivokimbia ndugu tuambie hapa.

Mtu akiongea ukweli mnaanza kutunga eti mtu ana ubini nae.
Hizi ni dharau kubwa kwa kizazi cha Tanzania na Watanzania. Tuseme watanzania hatufuatilii mambo? Tuseme watanzania sio wachunguzi kama ulivo wewe????
Embu tuambie wapi muhongo amesema yeye ni mtaalam wa kila kitu??? au ndo unamlisha maneno????? Alafu tuambie wapi Muhongo alitoa uamuzi wa fani asiyo na uelewa nayo???? Na wapi Muhongo alitoa uamuzi bila kufuata ushauri????? Naona umekuja na satori zingine basi tuthibitishie hapa.

Our god must be crazzy, this guy still stinks escrow

Cag mstaafu nikabilagani nijuzeni

Mkuu umenena! huyu jamaa hatufai hata kidogo ni tapeli tu! Umeme viijiini n sera ya taifa na sio mpango wa Mhongo hata kidogo na utaendelea bila yeye na fedha za wahisani sio za wakurya!

Najua saivi wanajipanga waje na mbinu ipi dhidi yake na sijui watakuja na ipi kwa sababu tumeshaamka watanzania na tunazidi kuwaamsha wengine wajue ukweli ni upi. Kikubwa alichonifurahisha Prof Muhongo alisema wazi kwenye speech yake kuwa akifanikiwa kwenye serikali yake Mapato ya serikali,mashirika yake na wafanyabiashara yatawekwa wazi. Nafikiri huu ulikuwa ni wakati wa wao kujiandaa kisaikolojia tu kwa sababu sijui watakwepaje tena kodi.

Victorie jamaa pale alipamudu vibaya sna. Hakuna tena wa kuvaa viatu vyake pale isee.

Huyu jamaa aunge na Lowasa ili awe waziri mkuuu




Huyo Muhongo bado atakua waziri wa nishati na madini.
Waziri mkuu ni Magufuli.
Serikali ya Lowasa ni serikali ya mchaka mchaka wa maendeleo.
Waziri wa fedha ni Mwigulu na Naibu wake ni Ciril Chami.Waziri wa mambo ya ndani ni Kangi Lugola.
 
Your god must be crazy , this guy still stinks escrow
 
Walau kwa CCM huyu anaweza ila anapaswa kujifunza zaidi lugha za kisiasa
 
Your god must be crazy ,this guy still stinks escrow
 
Huyo Muhongo bado atakua waziri wa nishati na madini.
Waziri mkuu ni Magufuli.
Serikali ya Lowasa ni serikali ya mchaka mchaka wa maendeleo.
Waziri wa fedha ni Mwigulu na Naibu wake ni Ciril Chami.Waziri wa mambo ya ndani ni Kangi Lugola.

Bahati mbaya sana ndugu yangu tumeshashuhudia nchi ilivoyumbishwa kwa siasa cha chuki na uadui baina ya TEAM EL na TEAM BM. Tumeshashuhudia uadui huu ulivoiyumbisha serikali ya awamu ya nne kuanzia 2008 kwa sababu tulidhani ni uadui wenu tu kwenye chama ila tumekuja kugundua kumbe hadi kwenye system upo.
Kama alivosema jana Humphrey Polepole chanel ten nyie team EL na BM kwa kweli mtupishe watanzania. sio muipishe CCM tu.
Na kikubwa zaidi tunamtaka mtu mwenye vision kwenye TOP SEAT. Vision bora na nzuri ya kuipeleka Tanzania tunakokutaka na mwenye uwezo wa kuisimamia team yake na ikamuheshimu na kufanya kazi kwa matakwa yake,weredi anaouamini na viwango vya hali ya juu. Huyu mtu tunayemtaka ni mwenye mtizamo tofauti juu ya mfumo wa maisha ya watanzania na kutokana na sauti yake na haiba yake atawafanya watanzania kuacha tabia za kuendekeza siasa,porojo porojo, uvivu na ushabiki tu ila watajikita kwenye kufanya kazi, kujituma na kujitolea kwa ajili ya nchi yao.
Si mwingine ndugu ni Prof Muhongo kwa sababu kusema kweli hata ukawa sijamuona mtu wa aina yake,sio tu CCM.
 
Kuna sera ngapi za taifa zimeishia kwenye makaratasi bila kutekelezwa, sera bila mtendaji ni bure, refer to;
1.Kilimo kwaza
2.........
3.........
 
Your god must be crazy ,this guy still stinks escrow

Sie tuna God, hatuna god.
Alafu mwambie your boss ajiandae kuweka wazi mapato yake kuanzia November 2015, hakuna ukwepaji kodi tena kuanzia serikali ya awamu ya 5.
 
Na majibu yake ya mkato awe rais wa huko mwenu Msoma

Ndugu unajua mie kwetu wapi? Acha siasa zako za ushabiki au umetumwa nini na media tycoon????
Kwa kukusaidia mie ni wa Njombe. Ila kwa Tanzania njema tuitakayo huko mbeleni nimejitolea kumsupport Prof Muhongo.
 
UDHAMINI WA PROF MUHONGO: Tulianza kazi tarehe 05 Juni (Dodoma) na hadi leo tarehe 14 Juni (Tunduru) tumekamilisha Mikoa 12: (12) Ruvuma Tunduru, (11) Mtwara, (10) Pemba, Mkoa wa Kusini (9) Unguja, Kaskazini A (8) Unguja, Mjini (7) Dar Es Salaam, Temeke (6) Tanga (5) Arusha (4) Mwanza, Misungwi (3) Kagera, Ngara (2) Tabora na (1) Dodoma. Maelekezo ya Chama yanazingatiwa kwa umakini mkubwa sana.Tutashinda. S Muhongo
 
Kwenye mabano ndo idadi ya wadhamini aliopata?
 
Hivi tunduru kumbe ni mkoa mpya?kumbe Rais mtarajiwa ameisha anzakugawa mikoa mipya?
 
Huyu baba ana dharau sana kwa Watanzania aisee, inaelekea akiupata Urais kwa bahati mbaya basi kila kitu atabinafsisha kwa wageni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom