Audio ya tangazo la Ndorobo na Mangi

Audio ya tangazo la Ndorobo na Mangi

B/sprey 15000/=,pangaboi 50000/= na malapa 1000/= jumla 65500/= hesabu za mangi na bado anapata faida hiyo mali yaomyesha ni yakupiga ndio maana dogo kwa vile anamjulia mangi akaona hata akilipa buku bado kuna faida

Hesabu inaenda mulama
 
Halafu yule mteja sijui ni Muha wa KG, ...'du, hataree'!
JF kuna mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom